Vitu Navyovipenda kwenye Mapenzi...

Vitu Navyovipenda kwenye Mapenzi...

Hahahahahahah
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Safi sana ili ukija kupigwa ukitoka unarushiwa viatu nje
Ahahahaha
Wahenga hawakuanza hivyo ohoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna ile kabla huja toka vinarushwa kwanza viatu vyako nje. Halaf ndio na wewe unasukumwa nje. Bas watu wanbako kushangaa tuu.

Huwa sifi moyo najua ipo siku anaye stahili ata enjoy tuu.
 
Wanakutanaga na Majezabeli
Usiombe ukakutana na Jezabeli woi
Sasa ogopa kukutana na Jezebeli una muacha halafu unakutana na Jezebeli mwengine
Mpaka unatamani uanze kuwa treat wanawake wote vibaya.
 
Mapenzi ya kweli ukitaka kuyaenjoy kubali kuridhika na vitu vidogo kwanza

Kuna vitu napenda sana kwenye mapenzi ambavyo nafanyiwa na Mume wangu:

Napenda Mshiko wako kitandani haujawahi kuchuja

Napenda Unavyonipenda

Napenda unavyonikosha

Napenda unavyojua kunifurahisha

Napenda ambavyo haujibakizi

Nakupenda kwasababu hauzeeki maini

Nakupenda kwasababu mpaka Leo unajua kunitongoza

Napenda ambavyo haujui kuweka vitu moyoni

Napenda unavyo-hustle kwa ajili ya familia

Napenda Pesa, Dhahabu na Mali zote ulizonipa

Napenda Designer Mavazi, Malazi na Vyakula unavyonipa

Napenda Vacations unazonipeleka kila mwaka

Napenda jinsi unavyowajibu Exes wangu wa zamani wanaponitongoza kwenye simu na mitandao ya kijamii

Napenda unavyoniita jina langu la kwanza kwa sauti ya kiume

Napenda unavyoniita jina langu last utani

Nakupenda kwasababu unaakili sana za maisha, biashara, kazi... Tanzania imebarikiwa kukupata wewe

Napenda mazungumzo yetu kwenye sìmu tangu unanichumbia mpaka tuna wajukuu hayajawahi kuchuja

Nakupenda kwakuwa haikusumbui mimi kuwepo kwenye mitandao ya kijamii

Napenda jina ulilonichagulia nitumie kwenye mitandao ya kijamii
Napenda Unavyonipa raha kitandani

Nakupenda kwasababu sijawahi kutana na size yakukuzidi wewe

Nakupenda kwasababu hauna kinyaa na mapenzi

Napenda style mpya unazoleta kitandani kwa miaka 30 ya ndoa

Napenda Ulivyo Mkarimu, Mpole, mcheshi, handsome,

Napenda Imani yako kwa Mungu

Napenda tuendelee kupendana mpaka tutakaporudisha namba kwa Sir God
Na mimi Nakupenda sana

Napenda unavyowapenda na kuwajali watoto na wajukuu zetu

Napenda unavyowapenda na kuwajali ndugu zetu na familia zetu wote

Nakupenda kwasababu sijawahi kujuta kuolewa na wewe

Nakupenda Maisha Mume wangu

Ps:
Cardi B Hongera sana kwa nyimbo nzuri. .. Surely mwaka 2018 ni Mwaka wa Cardi B Nikki Minaj atasubiria sana



Niambie mpenzi msomaji vitu gani unapenda kwenye mapenzi? !




Dada ebu agiza mofaya nakuja kulipia




Ila uniache na Nick wangu...
 
Back
Top Bottom