Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mvumilie leo bila shaka hatarudia tenaHahahaha hajui mziki wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mvumilie leo bila shaka hatarudia tenaHahahaha hajui mziki wangu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Usjali, niko makini
Ndiyo bure kabisaNimemsamehe bure
HahahahKama?!
Naona ushapata app
Bye bye.Baba jeni bye bye
Kwa kweli mimi huwa najitahidiHao hao wachache ndiyo watabeba sifa hizo hao juu juu achana nao akipata waku wadhibiti watatulia tu
Sawa dada.Me sio mkuu ni Dada
tuambie wewe unapenda nini ktk mapenzi
Ndiyo vizuri usipungeze huo upendoKwa kweli mimi huwa najitahidi
Nikipenda naingiaga na viatu kabsa kabsa tena na miguu yote.
Chaiii! Its true ooUuuwi kupendwa rahaa
Ntajitahidi japo watu wanaopenda sana wankuwaga wanakatishwa tamaa na wasojua thamani ya upendoNdiyo vizuri usipungeze huo upendo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Safi sana ili ukija kupigwa ukitoka unarushiwa viatu nje
Ahahahaha
Wahenga hawakuanza hivyo ohoo
Sasa ogopa kukutana na Jezebeli una muacha halafu unakutana na Jezebeli mwengineWanakutanaga na Majezabeli
Usiombe ukakutana na Jezabeli woi
Mapenzi ya kweli ukitaka kuyaenjoy kubali kuridhika na vitu vidogo kwanza
Kuna vitu napenda sana kwenye mapenzi ambavyo nafanyiwa na Mume wangu:
Napenda Mshiko wako kitandani haujawahi kuchuja
Napenda Unavyonipenda
Napenda unavyonikosha
Napenda unavyojua kunifurahisha
Napenda ambavyo haujibakizi
Nakupenda kwasababu hauzeeki maini
Nakupenda kwasababu mpaka Leo unajua kunitongoza
Napenda ambavyo haujui kuweka vitu moyoni
Napenda unavyo-hustle kwa ajili ya familia
Napenda Pesa, Dhahabu na Mali zote ulizonipa
Napenda Designer Mavazi, Malazi na Vyakula unavyonipa
Napenda Vacations unazonipeleka kila mwaka
Napenda jinsi unavyowajibu Exes wangu wa zamani wanaponitongoza kwenye simu na mitandao ya kijamii
Napenda unavyoniita jina langu la kwanza kwa sauti ya kiume
Napenda unavyoniita jina langu last utani
Nakupenda kwasababu unaakili sana za maisha, biashara, kazi... Tanzania imebarikiwa kukupata wewe
Napenda mazungumzo yetu kwenye sìmu tangu unanichumbia mpaka tuna wajukuu hayajawahi kuchuja
Nakupenda kwakuwa haikusumbui mimi kuwepo kwenye mitandao ya kijamii
Napenda jina ulilonichagulia nitumie kwenye mitandao ya kijamii
Napenda Unavyonipa raha kitandani
Nakupenda kwasababu sijawahi kutana na size yakukuzidi wewe
Nakupenda kwasababu hauna kinyaa na mapenzi
Napenda style mpya unazoleta kitandani kwa miaka 30 ya ndoa
Napenda Ulivyo Mkarimu, Mpole, mcheshi, handsome,
Napenda Imani yako kwa Mungu
Napenda tuendelee kupendana mpaka tutakaporudisha namba kwa Sir God
Na mimi Nakupenda sana
Napenda unavyowapenda na kuwajali watoto na wajukuu zetu
Napenda unavyowapenda na kuwajali ndugu zetu na familia zetu wote
Nakupenda kwasababu sijawahi kujuta kuolewa na wewe
Nakupenda Maisha Mume wangu
Ps:
Cardi B Hongera sana kwa nyimbo nzuri. .. Surely mwaka 2018 ni Mwaka wa Cardi B Nikki Minaj atasubiria sana
Niambie mpenzi msomaji vitu gani unapenda kwenye mapenzi? !
Ooooiiiiii!Mimi naridhika na ya mume wangu tu sijapataga kiboko yake
Umefanyaje tena shost wangu ba mkwe wangu alikuwepo hapaAaahh mumu miee....
Aaah ba mkwe anataka mjengooUmefanyaje tena shost wangu ba mkwe wangu alikuwepo hapa