chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
wanapataga nguvu anaweza kukulenga na dawatiDah sabra bonge alivotupigisha darasa zima
Kipande cha mtu kilipandisha ety na kuna mwengine kadogo hivi nako kikapandisha weweeee zikapigwa hapo kadogoo si kakaliwa juu bhana wanafunzi sote tunaogopa mpka wakaja walimu
Dah tulipigwa kora darasa zima
yaani tatizo unakuta wanaozimia ni haohao wa kila siku ila wengine wapo normal kabisaBalehe ya kike hiyo mkuu,
Hakuna uchawi.
Jiulize, ilieta impact gani mbaya?
Uliwahi kuona mwanaume wa hivyo?
AiseeNilivyokuwa shule ya msingi kulikuwa na tabia ya wasichana kuzimia, iliaminika wana majini, wengine walikua wanaoata hadi nguvu ya kusukuma watu wa kubwa na kuwaumiza, au kurusha madawati, au kukimbia hadi kwenye miti mikubwa ( mikuyu )
Nilichokishuhudia nachokumbuka hadi leo, kuna wasichana walikua wanazimia kwa pamoja hatakama wapo sehemu mbalimbali madarasa tofauti na hawaonani, moja akizimia utakuta na mwenzake pia kazimia na wakiamka wanaamka kwa pamoja
NdioooooooooooNyege tuu hizo
na hua wanaoanguka ni wasichana tuKumbe ni shule nyingi tu?