BLACK_
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 1,885
- 4,193
Mi hadi kesho naonaga ni kama maigizo tu walikuwa wakifanya hawa watu.
Mbona siku Hizi wanaishi kawaida very quiet life wengine masingle mothers safi.
Sijawahi sikia kuhusu hayo tena.
Wanawake wengi wanapenda attention za kipuuzi nadhani ile ilikuwa moja ya njia ya kukufanya mtu uende viral.