Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Habari ya mchana watu wangu wa nguvu kabisa😊😊mnaendeleaje na afya zenu jamani..mmeshapata lunch 🥙 jamni...maana ndo muda wenyewe huu😊😊

Siku zilizopita tulizungumzia vitu ambacho hatuvipendi katika maisha yetu ya kila siku lkni tunakuwa hatuna namna...😅😅watu mlitiririka...😄😄🤝🤝🤝sana.

Sasa leo tunazungumzia vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya kila siku ..si ndio eee...eheee😊😊😊
Nitaanza na mimi mambo yasiwe mengi😅😅..

Napenda
1.kupika👩‍🍳

2.kula🥙🌯🌮🍲🥗🍤🥘🥪

3.kuishi/kukaa sehemu/au mazingira yaliyotulia mnooooo niwe nasikia sauti za ndege tu.🥰🥰

4.kupiga “game”sehemu ambayo sio rasmi kama vile sebuleni🙈🙈🙈jikoni🙆‍♀️🙆‍♀️💁‍♀️💁‍♀️💁‍♀️Nikiwa nakatakata vitunguu mguu mezan 🙊🙊 🤫🤫(hapa inabidi niwe makini na pilipili mambo yasije yakaharibika)basi tu mradi vurugu tu😅😅mara vitunguu vimeungua...,,nyanya sijui zimefanyaje huko...mara sijui hiki kimefanyaje🤭🤭basi ni vurugumechi mtindo mmoja😅😅😅😅bafuni🤦‍♀️🤦‍♀️jizazi..maisha haya😁😁😁🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️ 🤪🤪🤪

5.kuwatch movie na babe huku nimemlalia kwa kifua 🙈🙈🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️Yatakayojiri wakati tutakaokuwa tunaangalia movie 🍿 nitarudi kuwahadithia💃💃💃💃🤪🤪

Tusichukulie maisha siriazi sana jamani 😅😅 tufurahi kidogo ndugu zanguni 🥰😘😘😘
Wikend hiiiyoooooooo....ndo kwanza mpya bado haijachakaa woooooozaaaaaahhh🧚‍♀️🧚‍🧚‍♀️🧚‍♀️

Waaaaaaaaahhiiiiiiiiiiii..maisha ndo haya haya tu furaha tu hakuna namna😅😅 si ndio eee....eheeee...🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
Take gud care of yourselves guys..
🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂
 
1. I do like staying indoors kama sina sababu ya msingi ya kunitoa nje....

2. Kulala

3. Staying indoors with bae, yatakayoendelea hapo hayawahusu...

4. Kula kula snacks, bites and the like

5. Muziki

6. Napenda kunywa, ni ngumu kumaliza siku sijanywa kimiminika cha aina nyingine tofauti na maji

Is a weekend, drink responsibly drink wiser 🍻
Happy weekend to y'all...

Mjep kuna ginger ale yako inakusubiri hapa 😆
 
Umenizid kupitisha siku bila kukunywa aiseh..

Uko kinywaji cha ngapi mpka sasa huko ulipo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…