Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

napenda
Pesa
kupika
kula
kukaa ndani bila nguo
kusikiliza music 🎶
Unapenda kuniiga dada.😅😅

Hapo kwenye kukaa bila nguo umenitisha sana...😆😆nimejaribu kukupatia picha nimeshindwa...
 
Napenda kusoma historia na facts zisizo za maana

For instance Robo ya wafanyakazi duniani hawapendi kazi zao
 
tuanze vikao vya send off
Wooooooooooozaaaaaaaaaaaaa🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️💃💃💃💃🥂🥂🥂
Mimi nitakaa Kwenye kamati ya gambe 😅
 
Back
Top Bottom