Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya killa siku

Movies
Kufatilia mpira esp EPL
Kucheza draft kwa simu
Kula likes JF
Kubishana na fans wa domo
zagarinojo huyu ni mmoja kati vichwa vya jinsia ya kike vyenye kupenda mpira na kufuatili..
Sasa mr conclusion kuwa makini😅😅

Utakuwa wewe ni team 🤴 kiba kama mimi..🥰🥰🥰🥰
 
1. Nikae ufukweni na kitabu changu na kinywaji kisicho na kilevi.
2. Nitembee sehem yenye utulivu wakati wa jioni.

3. JF
Kila nikiona comment yako popote pale huwa nastuka.

Utakuwa na maisha ya amani na marefu..inaelekea hupendi heka heka🤛🤛🤛
 
zagarinojo huyu ni mmoja kati vichwa vya jinsia ya kike vyenye kupenda mpira na kufuatili..
Sasa mr conclusion kuwa makini[emoji28][emoji28]

Utakuwa wewe ni team [emoji1780] kiba kama mimi..[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
. Chakorii mi ni fan no1 wa Mond lakini pia die hard fan wa Messi.

Yaani kwa Messi na Chibu tutabishana mpaka uchoke

Huwa niko hivi napenda hivi vitu kwa asilimia hizi

WCB music 20%
Football 20%
Facts 20%
Inspiring people 40%
 
Maswali gani haya dada..? Utafanya nikose mke ndio maana sijagusia.😅
Natengua kauli kaka..😆
Kwani wewe hupendi kula wali na maharage🤪
 
Kila nikiona comment yako popote pale huwa nastuka.

Utakuwa na maisha ya amani na marefu..inaelekea hupendi heka heka🤛🤛🤛

Usiwe unashtuka, urefu au ufupi wa maisha unasababishwa na mambo mengi sana. Kuwa mtulivu haimaanishi utachelewa kufa, unawezakua unafanya mambo mengine mabaya zaidi yanayohatarisha uhai/afya.

Ni kwa vile tu sipendi kujichanganya sana, naweza kufurahia kitu ambacho mwingine hawezi kunielewa, ndio maana muda mwingi nakua peke yangu. Lakini anapotokea mtu tunaefurahia nae hivyo viyu vidogovidogo maisha yanakua matam sana.
 
. Chakorii mi ni fan no1 wa Mond lakini pia die hard fan wa Messi.

Yaani kwa Messi na Chibu tutabishana mpaka uchoke

Huwa niko hivi napenda hivi vitu kwa asilimia hizi

WCB music 20%
Football 20%
Facts 20%
Inspiring people 40%
Basi vizuri kijana
 
Usihofu hata ukitaka na mimba nitakupa mama ilimradi tu nisikukose..[emoji6]
Kenzy we unajua tumeongea nae nini uyo tumepanga mengi pamoja naye
Tunataka tubaki tukiwa single lakini katika mahusiano naye
 
Yes ni kweli...
Maisha ni kufurahi na kupata japo watu wachache watakao furahi pamoja nawe..

Chakula gani unapenda kula?ingawa si kati ya kitu una holier day mkuu
 
Kenzy we unajua tumeongea nae nini uyo tumepanga mengi pamoja naye
Tunataka tubaki tukiwa single lakini katika mahusiano naye
Angalieni msije kuvunjana meno tu😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…