zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Hapana natania mi niko single sijapata mwandani bado nilikwambia nisaidie nipate dadaAngalieni msije kuvunjana meno tu[emoji28]
Yes ni kweli...
Maisha ni kufurahi na kupata japo watu wachache watakao furahi pamoja nawe..
Chakula gani unapenda kula?ingawa si kati ya kitu una holier day mkuu
Usihofu hata ukitaka na mimba nitakupa mama ilimradi tu nisikukose..[emoji6]
If your the smartest person in the room you're in the wrong roomNon sense
Nikijaribu kutafuta ufumbuzi ndo waga nakuja kukumbuka nimeishia form 3[emoji52][emoji52]Halafu ukisoma usnawatafutia ufumbuzi az ndo imetoka hiyo
zagarinojo huyu ni mmoja kati vichwa vya jinsia ya kike vyenye kupenda mpira na kufuatili..
Sasa mr conclusion kuwa makini😅😅
Utakuwa wewe ni team 🤴 kiba kama mimi..🥰🥰🥰🥰
[emoji4][emoji4]Hatuna Bongo Fleva bali tuna Wasafi Mond Fleva[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio team kiba bali hater wa domo tu.