Vitu vichache vinavyoweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani

Vitu vichache vinavyoweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani

Nakumbuka enzi zile nasoma Education pale Udsm nilikua kichwani naachia nywele ndefu sana halafu niIikua napenda kuvaa sana pensi yaani iwe lecture, seminar popote PIA nilikua na ule ukauzu flani hivi, Kuna baadhi ya lecturers walikua wanasema " we dg utaweza kuwa mwalimu kweli mbona una mambo ya ki-gangstar sana, punguza uhuni" Halafu classmate wangu walikua wananiita Rasta/culture.... Halafu huwezi amini sikua na uhuni wowote zaidi ya mavazi TU...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dongo ni style ya heshima hiyo ndgu yangu.

Huoni kichwa kilivyopendeza hapo, nikiscreenshot Pm jinsi kina dada wanavyopapatika kisa hiyo avatar utabaki kinywa wazi.
Haaahaa 😊
sawa mkuu ukiwa na kichwa chenye NYAMA NYAMA.

Unapendeza Sana Tena ndevu uchonge na 0
 
Back
Top Bottom