Vitu vichache vinavyoweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani

Vitu vichache vinavyoweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani

Hivi he?
Screenshot_20240412-174202~2.jpg
 
Hapo kwenye mwandiko labda ufafanue ila kwa ulimwengu wa sasa wa kidigital ni ngumu kumsoma mtu kwa mwandiko maana wengi wanatumia vifaa vya kielectronic kuandika maandiko yao.
Mwandiko Kwa kutumia kalamu unaweza kukwambia mtu mwenye Mwandiko huo ni Mtu wa namna Gani...!

Lakini hata kupitia Ulimwengu wa Kidigitali mwandiko wa mtu Kwa maana ya Comment ya Mtu, inaweza kukupa Picha kujua aina ya Mtu aliye comment ni Mtu wa aina Gani...!?

Kwa namna anavyoelezea hoja yake, maneno anayotumia, Makosa ya uandishi n.k...!

Kupitia comments utajua huyu mtu ana dharau, Mjivuni n.k, kama ni hivyo means atakua Mbinafsi, kama ni Mbinafsi ni mtu anayejari yeye kwanza, utaenda Mbali zaidi kwmba anajiona yeye Bora kuliko wengine n.k

Tabia zetu Zina uhusiano, Kuna tabia Ndogo na kubwa, hatupendi kuonesha tabia zetu mbaya hafu kubwa, ila ni rahisi kujua tabia Ndogo Ndogo kama Uchoyo, Jeuri, Ubinafsi, hizi tabia utaziona Usoni mwa Watu, wanavyotembea, wanavyoongea, wanavyoandika n.k

Ila Nyuma ya Tabia hizo Ndogo Kuna Tabia mbaya kubwa ambazo zimejificha, so kama unajua uhusiano wa Tabia, tabia Yako Ndogo ulonayo, Mimi national Tabia kubwa Nyuma yake.
 
Back
Top Bottom