Vitu vichache vinavyoweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani

Vitu vichache vinavyoweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani

Vipi kuhusu kuvaa kanzu?
Ndio hata kanzu ila kuna watu huvaa kanzu kujionyesha tu sio uhalisia wao,mtu mwenye kudumu na kanzu maisha mazima nae pia huonekana mtu wa Mungu.......Mimi navaa kanzu ijumaa au siku za matukio makubwa ya kidini,Lakini kuna alama ninazo kimuonekano watu huwa wananiweka kwenye kundi la wastaarabu kumbe ni mtu wa hovyo sina hili wala lile.
 
Kwenye miwani ni kweli ,clients wangu wakigundua wanahitajika kukutana na Mimi nawaona wanakuwa na hofu kwakuhisi Mimi ni mtu serious na ninayejua vitu vingi vya kada yangu kumbe ni kiazi mbatata mmoja tu ,ninayevaa miwani kisa chongo
Watu wengi ni wajinga sana,binafsi sijawahi nyanyaswa sehemu yeyote kisa appearance yaani na miwani yangu ya macho mikali nikifika sehemu wanadhani nimepaki Range Nje kumbe 😂😂😂😂😂😂
 
Ndio hata kanzu ila kuna watu huvaa kanzu kujionyesha tu sio uhalisia wao,mtu mwenye kudumu na kanzu maisha mazima nae pia huonekana mtu wa Mungu.......Mimi navaa kanzu ijumaa au siku za matukio makubwa ya kidini,Lakini kuna alama ninazo kimuonekano watu huwa wananiweka kwenye kundi la wastaarabu kumbe ni mtu wa hovyo sina hili wala lile.
Kuna wengine wana sijida mpaka za miguuni lakini kwa ground Mambo yao ni tofauti
 
Nyie wavaa miwani huwa mnaonekano wa kisomi na kitajiri kumbe ni..........na maka.........
On top of that unaonekana mtu mkubwa Serikalini uwe umevaa na shati matata sana ya draft,suruali Kali ya jeans/cadet na kiatu kikali hata ukiingia kula mgahawani unapewa na risiti ya efd,dukani wanakula risiti bila kuomba 😂😂😂😂

Yaani watu ni wajinga sana japo Mimi najua vitu kweli Huwa naona kijiweni wananichukulia mtu mzito ila wangekuwa 😂😂😂😁😁😁
 
Kuna wengine wana sijida mpaka za miguuni lakini kwa ground Mambo yao ni tofauti
kweli,kabisa nishakutana na wakina dada wawili kwenye kundi la watu wengi lakini wakanifata mimi,mmoja alikuja kuniazima simu awasiliane na mtu walikuwa na miadi ya kukutana sehemu simu yake ikawa imeishiwa salio na M-pesa ilikuwa mbali.

Mwingine alinifuata akaniambia nimekufuata wewe kwa sababu ni mstaarabu naomba unisaidie jambo flani.....hii nimeshaizoea katika maisha yangu.
 
Vizuri sana mkuu, ukiendelea na tabia hiyo naamini ipo siku utakutana na mambo makubwa zaidi ya hayo
 
Mimi mtu kunambia nsivae jinsi esepecially zenye muonekana wa kuchanika ila hazijachanika ni style flan km jinis ina viraka au nyingine ime ungua ungua
 
Back
Top Bottom