Vitu vichache vinavyoweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani

Vitu vichache vinavyoweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani

Au hiki....🙄
 
Attachments

  • download-4.jpg
    download-4.jpg
    10 KB · Views: 13
Nakumbuka enzi zile nasoma Education pale Udsm nilikua kichwani naachia nywele ndefu sana halafu niIikua napenda kuvaa sana pensi yaani iwe lecture, seminar popote PIA nilikua na ule ukauzu flani hivi, Kuna baadhi ya lecturers walikua wanasema " we dg utaweza kuwa mwalimu kweli mbona una mambo ya ki-gangstar sana, punguza uhuni" Halafu classmate wangu walikua wananiita Rasta/culture.... Halafu huwezi amini sikua na uhuni wowote zaidi ya mavazi TU...
 
kwamba ukiishi sehemu ipi unakua mtu yupi au w a aina ipi

fafanua
Yategemea na mkoa ulipo.
Majengo, Njoro, Kaloleni, Changanyikeni, Uswahilini = SEHEMU ZA MASKINI WENZETU na watu ambao hawajasoma.

Uhindini= vyoo na chemba zinatema, takataka na kunguru kila pahala.

Uzunguni= Ustaarabu, viwanja kuanzia nusu heka, kila mtu na ukuta wake [Masaki, Oysterbay, Shanti Town, njiro, Ganhilonga]
 
Nakumbuka enzi zile nasoma Education pale Udsm nilikua kichwani naachia nywele ndefu sana halafu niIikua napenda kuvaa sana pensi yaani iwe lecture, seminar popote PIA nilikua na ule ukauzu flani hivi, Kuna baadhi ya lecturers walikua wanasema " we dg utaweza kuwa mwalimu kweli mbona una mambo ya ki-gangstar sana, punguza uhuni" Halafu classmate wangu walikua wananiita Rasta/culture.... Halafu huwezi amini sikua na uhuni wowote zaidi ya mavazi TU...
Hawajawahi kukuambia unatumia Mjani?
 
Sisi matapeli muda wote tunakaa smart
Sasa jichanganye
Mimi ukiniona hutaamini kama ni DALALI
na si unajua UDALALI na UTAPELI vimetenganshwa na very thin margin
Matapeli wapo lakini sio wengi kiasi cha kutokuamini mionekano ya watu wote mtaani
 
Back
Top Bottom