Vitu vichache vinavyoweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani

Vitu vichache vinavyoweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani

Kwenye miwani ni kweli ,clients wangu wakigundua wanahitajika kukutana na Mimi nawaona wanakuwa na hofu kwakuhisi Mimi ni mtu serious na ninayejua vitu vingi vya kada yangu kumbe ni kiazi mbatata mmoja tu ,ninayevaa miwani kisa chongo
Wakikuona wanajua professor huyu hapa, na unaivalia kwa chini ya macho kabisa
 
Sio kwa zama hizi ndugu yangu.
Leo hii wengine ni tapeli japo wana personality nzuri tu. Wazee wa goodmorning😄
Matapeli wapo lakini sio wengi kiasi cha kutokuamini muonekano wa kila mtu
 
Wala kuvuta masigara na kupiga milegezo..
Mimi hata uniwekee AK-47 kichwani ninywe pombe sinywi sababu sipendi mara 100 uniue tu Ila kulegeza mkanda vitu vya kawaida sana, Mimi suruali yangu sikazi mkanda na ikitokea siku nikajisahau nikakaza nitaumwa siku 2/3 yaan Mwili utavurugwa kwa hio mkanda nalegeza kwa sababu nikikaza nikajibana tumbo lazima niumwe yaan lazima niumwe, Sigara haiui kinachoua ni matumizi, kila mtu ana sababu zake Mimi siwezi kusuka dred, kupaka nywele marangi yale sijui maina mabrichi, kupaka make-up na kua km Mwanamke fulani hivi, kuvaa macheni na mapete mikononi, sifanyi huo ushubwada
 
Hapo je...😎
 

Attachments

  • downloadfile-9.jpg
    downloadfile-9.jpg
    349.2 KB · Views: 11
Back
Top Bottom