Rudi kusoma tena bandiko langu. tunahitaji kuwa na hobby, lakin with moderation.Mkuu,
Hatuwezi kiwa taifa lisilo na hobby/ushabiki fulani. Hata familia isiyo na hobby huwa ina matatizo mengi.
Ndiyo maana wakati wengine wakizungumzia simba na yanga, wengine hukaa kuanzia saa 1 mpaka saa 6 wanaangalia maigizo Azam TV, wengine wako netflix usiku kucha hasa hiki kizazi kipya, wengine wako bar wanalewa usiku kucha wengine wanabet n.k
Sasa ukilaumu simba na yanga tu utakuwa mtu wa ajabu. Ubaya ni kiwa kila mtu ana hobby yake ukiona mtu hana hobby maana yake ubongo wake ni mdogo sana, big brains wanafanya mambo mengi tu ya hovyo na maisha yao yanakwenda.
Impact ya watu kutofanya kazi, unaiona kupitia huduma zitolewazo na serikali!
Muda unao tumika kujadili hobby ni mwingi sana kuliko uzalishaji! na hii inasababishwa na ignorance tuliyo nayo kutokana na kukosa elimu thabiti inayo mjenga mtu kutambua umuhimu wake katika sekta za uzalishaji vs maendeleo ya Nchi yake