Vitu vinavyoharibiwa na wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?

Mkulung

Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
22
Reaction score
13
kwa wajuzi wa mchezo huu naamin mtanisaidia hili swali , hivi vile vitu vinavyo halibiwa na hawa wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?
 
Donald Trump & McMahon ndio wanalipa
 
Yale ni maigizo ila kwa kiwango cha hali ya juu, jalibu kujiuliza mambo yafuatayo.

1) Ulishawai kuona mpambano halisia ambao wapiganaji wanapeana zamu kupigana ngumi uku wanaangaliana kama majogoo yaliyochoka yani piga nikupige wanawekeana sura?

2) Kuna style kama za ray mystereo mtu anasukumwa kwenye kamba anashikilia akisubili jamaa akaning' inie aludi ampige teke yeye anamuona tu na anasubili ilo pigo litimie kwann asijikinge?

3) Tatu mshindi wa mechi anapangwa na ndomana linapokuja swala la revenge lazima mlipa kisasi ashinde.

4) Chunguza kwa makini ngumi wanazopiga huwa wanagusana tu unakuta mtu anajilegeza kama kagongwa na treni ndomana Mike tyson alivoanza kushiriki huko alikosea akapeleka kikombe cha kweli akataka kuua mtu.

Hayo na mengine mengi yalifanya kuacha kuangalia hayo maigizo kitambo sana na nilikua mfatiliaji kweli kweli ila ukiniongeza kidogo tu utajua ni mchezo wa kuigiza bola niangalie futuhi!
 
Ati nini....? Maigizo...? Ngoja nkuache uendelee kuamini unachoamini!!
Hayo yote ni maigizo yanayofanywa kwa utaratibu mzuri sana usizani vitu real!.. Kama unaamini maigizo hawaumii wafatilie kina chaning tatum, mark wahilberg, matt damon, jack chan.
 
Yale ni maigizo ila kwa kiwango cha hali ya juu, jalibu kujiuliza mambo yafuatayo.

1) Ulishawai kuona mpambano halisia ambao wapiganaji wanapeana zamu kupigana ngumi uku wanaangaliana kama majogoo yaliyochoka yani piga nikupige wanawekeana sura?

2) Kuna style kama za ray mystereo mtu anasukumwa kwenye kamba anashikilia akisubili jamaa akaning' inie aludi ampige teke yeye anamuona tu na anasubili ilo pigo litimie kwann asijikinge?

3) Tatu mshindi wa mechi anapangwa na ndomana linapokuja swala la revenge lazima mlipa kisasi ashinde.

4) Chunguza kwa makini ngumi wanazopiga huwa wanagusana tu unakuta mtu anajilegeza kama kagongwa na treni ndomana Mike tyson alivoanza kushiriki huko alikosea akapeleka kikombe cha kweli akataka kuua mtu.

Hayo na mengine mengi yalifanya kuacha kuangalia hayo maigizo kitambo sana na nilikua mfatiliaji kweli kweli ila ukiniongeza kidogo tu utajua ni mchezo wa kuigiza bola niangalie futuhi!

Kama hawajakuelewa wawe wanaangalia WWE RevealS

WWE ni entertainment kila kitu kinapangwa kulingana na upepo wa mashabiki. nini mashabiki wanataka.

Kitu ninacho wakubali wako accurate sana kucheza movie live sio jambo Dogo. They are professional trained kwa kweli.

Wrestler ni watumiaji wa drug na 80% waliokufa wamekufa gafla kwa matatizo ya moyo.

MacMahon anautendea haki mchezo wa wrestling
 
Hivi nani aliyewaambia ni maigizo kuna visheria tu vidogo kwenye upigaji wa ngumi watu wanapigwa viti vinavunjika live watu tunaona mtu anaruka juu ya kamba kuja kumtulia aliyechini wewe unasema maigizo gani watu hawakosei kunyanyuliwa na kutupwa chini sio mchezo
hawa ni watu wanaotumia madawa yakuongeza nguvu
 
Yale ni maigizo ila kwa kiwango cha hali ya juu, jalibu kujiuliza mambo yafuatayo.

1) Ulishawai kuona mpambano halisia ambao wapiganaji wanapeana zamu kupigana ngumi uku wanaangaliana kama majogoo yaliyochoka yani piga nikupige wanawekeana sura?

2) Kuna style kama za ray mystereo mtu anasukumwa kwenye kamba anashikilia akisubili jamaa akaning' inie aludi ampige teke yeye anamuona tu na anasubili ilo pigo litimie kwann asijikinge?

3) Tatu mshindi wa mechi anapangwa na ndomana linapokuja swala la revenge lazima mlipa kisasi ashinde.

4) Chunguza kwa makini ngumi wanazopiga huwa wanagusana tu unakuta mtu anajilegeza kama kagongwa na treni ndomana Mike tyson alivoanza kushiriki huko alikosea akapeleka kikombe cha kweli akataka kuua mtu.

Hayo na mengine mengi yalifanya kuacha kuangalia hayo maigizo kitambo sana na nilikua mfatiliaji kweli kweli ila ukiniongeza kidogo tu utajua ni mchezo wa kuigiza bola niangalie futuhi!
Hiyo style inaitwa 619,
Nimewaza hata ile style ya "Suicide Diving" toka mtu anakimbia kwenda kwenye kamba upande mmoja kisha anageuza na kurudi upande mwengine ili aruke, yule/wale walioko chini wanamuangalia tu aje awarukie
 
Back
Top Bottom