Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Kwahyo wale maxhabik wote wanadanganywa?[/Q
kwani mwanamuziki akiimba kaumizwa na mapenzi mashairi aliyotungiwa mashabiki wakaupenda wimbo ina maana wamedanganywa na msanii kuwa kaumizwa kimapenzi??au kwa vile tunajua sio lazima yeye awe kaumizwa kimapenzi basi ndio tusiipende kazi yake na kuikubali??sote tunajua ile ni burudani tu,nao pia mashabiki wale wanajua ile ni burudani tu haiwazuii kupenda!!hata maaigizo ya ukumbini yapo na watu wanayafurahia tu!!hata sinema na tamthilia kina mama wanalia kabisa japo wanajua ni maigizo tu!!jambo kuwa ni maigizo haizuii watu kupenda na si haki kusema wanadanganywa