Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Faida wanayopata kina Vincent McMahon ya kutokana na viingilio + matangazo ya TV + Sponsors inalipa kabisa hivyo viti/meza/ na chenji inabaki juukwa wajuzi wa mchezo huu naamin mtanisaidia hili swali , hivi vile vitu vinavyo halibiwa na hawa wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?