darasa la saba hawa fb kunawafaa na sio humu.kwa wajuzi wa mchezo huu naamin mtanisaidia hili swali , hivi vile vitu vinavyo halibiwa na hawa wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?
Donald Trump & McMahon ndio wanalipakwa wajuzi wa mchezo huu naamin mtanisaidia hili swali , hivi vile vitu vinavyo halibiwa na hawa wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?
Jibu swali au kama hujui kaa kimya alie uliza ni muelewa kuliko hata wewedarasa la saba hawa fb kunawafaa na sio humu.
Npo hapa naangalia mechi ya mwisho ya golbergy vs brock lesnar..Kwanza kabla ya kukujibu swali lako!, hivi unajua kuwa yale ni maigizo yanayoratibiwa vizuri!?..
Ikili yako ni ndogo sanadarasa la saba hawa fb kunawafaa na sio humu.
wewe ndio std7 (the way ulivyojibu OP)darasa la saba hawa fb kunawafaa na sio humu.
Hayo yote ni maigizo yanayofanywa kwa utaratibu mzuri sana usizani vitu real!.. Kama unaamini maigizo hawaumii wafatilie kina chaning tatum, mark wahilberg, matt damon, jack chan.Ati nini....? Maigizo...? Ngoja nkuache uendelee kuamini unachoamini!!
Yale ni maigizo ila kwa kiwango cha hali ya juu, jalibu kujiuliza mambo yafuatayo.
1) Ulishawai kuona mpambano halisia ambao wapiganaji wanapeana zamu kupigana ngumi uku wanaangaliana kama majogoo yaliyochoka yani piga nikupige wanawekeana sura?
2) Kuna style kama za ray mystereo mtu anasukumwa kwenye kamba anashikilia akisubili jamaa akaning' inie aludi ampige teke yeye anamuona tu na anasubili ilo pigo litimie kwann asijikinge?
3) Tatu mshindi wa mechi anapangwa na ndomana linapokuja swala la revenge lazima mlipa kisasi ashinde.
4) Chunguza kwa makini ngumi wanazopiga huwa wanagusana tu unakuta mtu anajilegeza kama kagongwa na treni ndomana Mike tyson alivoanza kushiriki huko alikosea akapeleka kikombe cha kweli akataka kuua mtu.
Hayo na mengine mengi yalifanya kuacha kuangalia hayo maigizo kitambo sana na nilikua mfatiliaji kweli kweli ila ukiniongeza kidogo tu utajua ni mchezo wa kuigiza bola niangalie futuhi!
Lile neno Entertainment ndilo la msingi kuelewa mchezo huo mzima. Burdani.WWE zamani nilikuwa nahisi ni kweli
Hiyo style inaitwa 619,Yale ni maigizo ila kwa kiwango cha hali ya juu, jalibu kujiuliza mambo yafuatayo.