Faida wanayopata kina Vincent McMahon ya kutokana na viingilio + matangazo ya TV + Sponsors inalipa kabisa hivyo viti/meza/ na chenji inabaki juukwa wajuzi wa mchezo huu naamin mtanisaidia hili swali , hivi vile vitu vinavyo halibiwa na hawa wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?
Asuka mambo?[emoji13][emoji13][emoji13]Sponser wao
kutegemea na Raw or Smark Down
Kaka haya sio maigizo huwezi fananisha na yale ya muvi za kuedit ambazo mtu anaguswa teke halafu anaonekana kama amempigwaYale ni maigizo ila kwa kiwango cha hali ya juu, jalibu kujiuliza mambo yafuatayo.
1) Ulishawai kuona mpambano halisia ambao wapiganaji wanapeana zamu kupigana ngumi uku wanaangaliana kama majogoo yaliyochoka yani piga nikupige wanawekeana sura?
2) Kuna style kama za ray mystereo mtu anasukumwa kwenye kamba anashikilia akisubili jamaa akaning' inie aludi ampige teke yeye anamuona tu na anasubili ilo pigo litimie kwann asijikinge?
3) Tatu mshindi wa mechi anapangwa na ndomana linapokuja swala la revenge lazima mlipa kisasi ashinde.
4) Chunguza kwa makini ngumi wanazopiga huwa wanagusana tu unakuta mtu anajilegeza kama kagongwa na treni ndomana Mike tyson alivoanza kushiriki huko alikosea akapeleka kikombe cha kweli akataka kuua mtu.
Hayo na mengine mengi yalifanya kuacha kuangalia hayo maigizo kitambo sana na nilikua mfatiliaji kweli kweli ila ukiniongeza kidogo tu utajua ni mchezo wa kuigiza bola niangalie futuhi!
Mkuu acha kujidanganya si u-google reality of wrestling. Au kingereza shida tukutafsirie.Npo hapa naangalia mechi ya mwisho ya golbergy vs brock lesnar..
Ati nini....? Maigizo...? Ngoja nkuache uendelee kuamini unachoamini!!
Mkuu nipe kile kiti cha chuma mimi nisiyekuwa na mazoezi nimtandike nacho huyo wrestler wako kichwani kama hamjaita ambulance imuwahishe ICU au mochuari. Vitu vingine ni kutumia akili kidogo tu kujua.Hivi nani aliyewaambia ni maigizo kuna visheria tu vidogo kwenye upigaji wa ngumi watu wanapigwa viti vinavunjika live watu tunaona mtu anaruka juu ya kamba kuja kumtulia aliyechini wewe unasema maigizo gani watu hawakosei kunyanyuliwa na kutupwa chini sio mchezo
hawa ni watu wanaotumia madawa yakuongeza nguvu
Hebu pitia video za youtube uone sababu hii ni live hakuna edit kama kwenye muvi mtu anavunjiwa kiti unaona sarakasi zile za jeff hard anapanda juu ya ngazi afu anamrukia aliepo chini sio maigizo yale kwenye kupiga ngumu ndio wamepewa miongozo awapigi kwenye tano kama yangekuwa maigizo mbona wangekuwa wanakosea sanaMkuu nipe kile kiti cha chuma mimi nisiyekuwa na mazoezi nimtandike nacho huyo wrestler wako kichwani kama hamjaita ambulance imuwahishe ICU au mochuari. Vitu vingine ni kutumia akili kidogo tu kujua.
Upo vizuriSponser wao
kutegemea na Raw or Smark Down
Mkuu usibishe ile ni recordingNpo hapa naangalia mechi ya mwisho ya golbergy vs brock lesnar..
Ati nini....? Maigizo...? Ngoja nkuache uendelee kuamini unachoamini!!
Itakusaidia nn ukishajua? Hauna kitu cha kupost ?kwa wajuzi wa mchezo huu naamin mtanisaidia hili swali , hivi vile vitu vinavyo halibiwa na hawa wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?
Eti asuka....hahahaha basi ww utakuwa nakamuraAsuka mambo?[emoji13][emoji13][emoji13]
Now daiz wahis c kwel, endelea kupotea.WWE zamani nilikuwa nahisi ni kweli
Yale ni maigizo ila kwa kiwango cha hali ya juu, jalibu kujiuliza mambo yafuatayo.
1) Ulishawai kuona mpambano halisia ambao wapiganaji wanapeana zamu kupigana ngumi uku wanaangaliana kama majogoo yaliyochoka yani piga nikupige wanawekeana sura?
2) Kuna style kama za ray mystereo mtu anasukumwa kwenye kamba anashikilia akisubili jamaa akaning' inie aludi ampige teke yeye anamuona tu na anasubili ilo pigo litimie kwann asijikinge?
3) Tatu mshindi wa mechi anapangwa na ndomana linapokuja swala la revenge lazima mlipa kisasi ashinde.
4) Chunguza kwa makini ngumi wanazopiga huwa wanagusana tu unakuta mtu anajilegeza kama kagongwa na treni ndomana Mike tyson alivoanza kushiriki huko alikosea akapeleka kikombe cha kweli akataka kuua mtu.
Hayo na mengine mengi yalifanya kuacha kuangalia hayo maigizo kitambo sana na nilikua mfatiliaji kweli kweli ila ukiniongeza kidogo tu utajua ni mchezo wa kuigiza bola niangalie futuhi!
Kwahyo wale maxhabik wote wanadanganywa?[/QYale ni maigizo ila kwa kiwango cha hali ya juu, jalibu kujiuliza mambo yafuatayo.
1) Ulishawai kuona mpambano halisia ambao wapiganaji wanapeana zamu kupigana ngumi uku wanaangaliana kama majogoo yaliyochoka yani piga nikupige wanawekeana sura?
2) Kuna style kama za ray mystereo mtu anasukumwa kwenye kamba anashikilia akisubili jamaa akaning' inie aludi ampige teke yeye anamuona tu na anasubili ilo pigo litimie kwann asijikinge?
3) Tatu mshindi wa mechi anapangwa na ndomana linapokuja swala la revenge lazima mlipa kisasi ashinde.
4) Chunguza kwa makini ngumi wanazopiga huwa wanagusana tu unakuta mtu anajilegeza kama kagongwa na treni ndomana Mike tyson alivoanza kushiriki huko alikosea akapeleka kikombe cha kweli akataka kuua mtu.
Hayo na mengine mengi yalifanya kuacha kuangalia hayo maigizo kitambo sana na nilikua mfatiliaji kweli kweli ila ukiniongeza kidogo tu utajua ni mchezo wa
Acha ujinga jibu swali.Hivi likizo ya pasaka imeanza.. Kwan maana shule zimefungwa au???
nikupe swali la kujiuliza,ushawahi kujiuliza kwanini aina hiyo ya mieleka haipo katika mashindano ya olimpiki??Npo hapa naangalia mechi ya mwisho ya golbergy vs brock lesnar..
Ati nini....? Maigizo...? Ngoja nkuache uendelee kuamini unachoamini!!
Live acting!? Kwa hiyo hata wale wanaonyanyuliwa na kutushwa chini ni live and true?Kama hawajakuelewa wawe wanaangalia WWE RevealS
WWE ni entertainment kila kitu kinapangwa kulingana na upepo wa mashabiki. nini mashabiki wanataka.
Kitu ninacho wakubali wako accurate sana kucheza movie live sio jambo Dogo. They are professional trained kwa kweli.
Wrestler ni watumiaji wa drug na 80% waliokufa wamekufa gafla kwa matatizo ya moyo.
MacMahon anautendea haki mchezo wa wrestling