Vitu vinavyoharibiwa na wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?

Kwahyo wale maxhabik wote wanadanganywa?[/Q

kwani mwanamuziki akiimba kaumizwa na mapenzi mashairi aliyotungiwa mashabiki wakaupenda wimbo ina maana wamedanganywa na msanii kuwa kaumizwa kimapenzi??au kwa vile tunajua sio lazima yeye awe kaumizwa kimapenzi basi ndio tusiipende kazi yake na kuikubali??sote tunajua ile ni burudani tu,nao pia mashabiki wale wanajua ile ni burudani tu haiwazuii kupenda!!hata maaigizo ya ukumbini yapo na watu wanayafurahia tu!!hata sinema na tamthilia kina mama wanalia kabisa japo wanajua ni maigizo tu!!jambo kuwa ni maigizo haizuii watu kupenda na si haki kusema wanadanganywa
 
nikupe swali la kujiuliza,ushawahi kujiuliza kwanini aina hiyo ya mieleka haipo katika mashindano ya olimpiki??
Mkuu sheria za olimpik na drugs wapi na wapi.. Wrestler ni moja ya watu wanaoongoza kwa utumiaji wa madawa, hii inadhihirishwa hata na sababu za vifo vyao walio wengi.FATILIA

Wengi mnasema huu ni mchezo wa maigizo. SIO KWELI. Mchezo huu km ilivyo michezo mingine huongozwa kwa sheria na kanuni. FATILIA

Watu wanapata vilema vya kudumu nyie mnasema maigizo. Watu wanafia uwanjani nyie mnasema maigizo. So Undertaker kushinda WrestleMania32-2 ni planned? FATILIA

Goldbergy kaludi ulingoni bda ya miaka zaidi ya kumi kupotea,sababu hasa ni kashfa za Brock lesnar kuwa hakuna Wrestler yeyote anayeweza kumzuia. Jamaa ndio akaona isiwe tabu. Akarejea kudhihirisha brock anapogika. Hio nayo ni planned?
 
kwa wajuzi wa mchezo huu naamin mtanisaidia hili swali , hivi vile vitu vinavyo halibiwa na hawa wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?

Kule sio dunia ya 3
 
ttz

ubongo ushau-switch kwny ukwel....
haa haaa haaa,kwa hiyo mabadiliko yametokea upande wako,kule show zipo kwa kiwango kilekile!!!mi nilipogundua kuwa ni burudani tu na sio kitu halisi ndio nikapenda zaidi,maana nilikuwa na hofu na mashaka mengi kuwa ile kitu imepangwa!!ikitokea nikaenda ukumbini huko mbeleni kitu cha kwanza nitakagua kama vile viti ni vya chuma kweli,nahisi ni vya plastic!!!
 
Bado Niko nusu nusu nabishana na watu mbalimbali natafuta ukweli wa hili bado sijapata jibu.

Siku moja nilimuuliza Muhindi mmoja unamfahamu GREAT KHALI akanijibu ndiyo ,nikamuuliza yuko wapi? Akasema INDIA

Nikamuuliza hivi ile ni mieleka kweli ,akanijibu ni maigizo na huwa wanafanya REHEASAL kabla ya kuingia ukumbini daaaah.

Lkn bado Niko nusunusu nimeuliza wengi nimemfuatilia na kuchunguza binafsi maana wakati mwingine unamuona MTU akiwa kwenye kona kapanda juu adui yake akimfuata ili amrushe chini akimsogeza mguu akae sawa ili arushwe anasaidia kujiweka kimrushomrusho


Anatafuta jibu
 
Mkuu mbona hata wasanii wa muziki wanadondoka jukwaani na kuumia? Kwahiyo mtu akiwa anaigiza hatakiwi kuumia? Davido aliporomoka jukwaani akaumia akiwa anatoa show.

Yale ni maigizo yasiyohitaji hata kuumiza kichwa ili ugundue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…