Vitu vinavyoharibiwa na wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?

Inawezekana uko sahihi mkuu! Ila kuna muda wanatoana mpaka damu ina maana hapo pia wanaigiza?
Inaitwa World Wrestling Entertainment ni maneno ya kiburudani zaidi, ingawa watu huwa wanaumia, kama Leo kuna TLC wanaocheza hiyo gemu leo kama watakuwepo katika Monday Night Raw
 
Kwenye viingilio,

Means mashabik ndo wanalipia coz kwenye pesa ya kiingilio wanatoa pesa ya uchakavu jambo ambalo ni la kawaida kwenye kupanga bajet ya matukio au jambo lingine lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…