Mbona ngono hujaweka?1. Kutokufanya mazoezi
2. Ulaji wa hovyo vyakula vyenye mafuta
3. Ulevi kupita kiasi
4. Ngono zembe
5. Kuto fanya check-up ya afya yako angalau mara moja kwa mwaka.
6. Umasikini
Hapa kwenye umasikini jitahidi usiwe masikini kwa muda mrefu kwani umasikini unaweza kuleta mengine yote hapo juu.
Shukran,Hongera mkuu
Watumia kinga, huna Mke?1) Mazoezi nafanya.
2) Sili hovyo.
3) Sio Mlevi.
4) Natumia kinga.
5) Duh, hapo nisiwe muongo, sikumbuki check up nimefanya lini mara ya mwisho.
6) Si mchovu kiviile...walau na mudu kuwa na simu janja plus bando.
Kinga nikiwa safari Mzee, we vipi?Watumia kinga, huna Mke?
Ha ha haHapa kwenye umasikini jitahidi usiwe masikini kwa muda mrefu kwani umasikini unaweza kuleta mengine yote hapo juu