Vitu vinavyoweza kuhatarisha afya yako

Vitu vinavyoweza kuhatarisha afya yako

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1. Kutokufanya mazoezi
2. Ulaji wa hovyo vyakula vyenye mafuta
3. Ulevi kupita kiasi
4. Ngono zembe
5. Kuto fanya check-up ya afya yako angalau mara moja kwa mwaka.
6. Umasikini

Hapa kwenye umasikini jitahidi usiwe masikini kwa muda mrefu kwani umasikini unaweza kuleta mengine yote hapo juu.
 
Mbona ngono hujaweka?
 
1) Mazoezi nafanya.
2) Sili hovyo.
3) Sio Mlevi.
4) Natumia kinga.
5) Duh, hapo nisiwe muongo, sikumbuki check up nimefanya lini mara ya mwisho.
6) Si mchovu kiviile...walau na mudu kuwa na simu janja plus bando.
Hongera mkuu
 
Watumia kinga, huna Mke?
 
I don't mean anyone to be a hero, but honestly, anything can kill you... Anything....
We just have to pray, provided we live in 3rd world countries...
I know poor people at 90's and the ambitious young lady die at gun shot in Daladala, or just by expressing their opinions.....
Steve Jobs dies of Brain tumor...
No body knows tomorrow..but let's try to be our best we can be....
Thanks for sharing D;,
 
Bila kusahau mapenzi ya kupretend na siasa za majitaka(r.i.p Aqulina).
 
Back
Top Bottom