Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Katika dini mbili za mapokeo na nyemelezi, ukristo na uislam, kuna vitu viwili vinanipa taabu kidogo.
Mosi, ni urafiki wa Yesu na wanawake wawili toka Bethania ambao walionekana kuwa karibu naye kiasi cha kuweza kuona kama walikuwa na mapenzi na si urafiki.
Pili, ni vifo vya watoto wa mtume Mohamed. Ukiondoa, binti yake Fatima, wote walikufa mapema kabla ya kuoa na kuolewa.
Je, huyu bwana alikuwa na tatizo gani kiafya ambalo Allah alishindwa kama ambavyo Yesu alikufa akiwa hata hajaoa?
Najua wapo watakaosema Yesu hakupaswa kuoa kana kwamba kuoa ni dhambi. Hayo tuyaache.