Vitu viwili vinanichanganya katika ukristo na uislam juu ya urafiki wa Yesu na Martha na Maria na vifo vya watoto wa Mtume Mohamed nisaidieni wanangu

Kwa sasa unajiona umewin kw sababu ya pumzi alokujaalia Muumba wako. Subiri utakapofumba jicho utayaona na utalipwa. Wakati mwengine hata kama kilevi kimekuzidi lkn ifike pahala utumie akili yako alokujaalia Mungu vizur na uheshimu dini za wenzako.
Pinga kwa hoja shekh
 
Wengi Huwa mnauliza maswali ya aina hii mkiwa na majibu yenu tayari, je uko tayari kupokea jibu la swali lako
 
Huwa Wana majibu yao tayari yaani mtu anataka kufosi atoke nje ya kitabu akatumie micropedia etc ni ujinga kwani historia ya yesu imeandikwa wapi zaidi ya humo?
 
Kwa sasa unajiona umewin kw sababu ya pumzi alokujaalia Muumba wako. Subiri utakapofumba jicho utayaona na utalipwa. Wakati mwengine hata kama kilevi kimekuzidi lkn ifike pahala utumie akili yako alokujaalia Mungu vizur na uheshimu dini za wenzako.
Aheshimu ujinga eti imani!!
 
Wewe unatafuta fatwa
 
Wewe acha kutisha watu, sasa mtu akifumba asubiri kuona nini na keshakufa???
Sitishi, wee endelea kumuasi Mungu tu, na uzuri ni kuwa hujafunga mkataba naye!! Hizo zako ni pumzi tu, ila malaika wa mauti wakikushukia ndio utajuwa. Usijisahau kiasi hicho kiasi cha kujifanya comedian watu wacheke kumbe unajiharibia.
 
Roho kwa mwanadamu Ni Kama mvua tu inapozuru kwenye ardhi kwa muda na kisha maji kurud yalikotoka na kubaki ukame mithili ya mwili uliokwisha kufa Hadi pale itakapo irudia kwa Mara nyingine.

Mimi nimekubali kuliwa nikijiona, maana hata nisipokubali sintoweza kuwa na taraja lolote Kama wewe usivyo na taraja lolote zaidi ya mbiu zako za upotevuni na hakuna anayekuhurumia Wala kukujali.
Nilidhani umekuja na suluhu ya kifo kumbe na wewe Ni moja ya waliao. Pole Sana yesu Ni jibu.
 
SUbiri ufumbe macho, kisha na huo utumbo wako uloandika usiusahau!
 
Na kiarabu alikijulia huko huko Kilwa? Au miaka hiyo eneo la uarabuni lilifika mpaka Kilwa?
 
Subahanallah. Audhubilah mina shaitan rajiim
 
Subahanallah. Audhubilah mina shaitan rajiim
Mwanangu Asshole, sorry, ass, sorry Ass1234, waarabu wanjanja. Wamewafundisha kuchukiana na kulaaniana. Ssaa hiyo laana ya shaitwan qabir yanini kwa mswahili mwenzako kama ungekuwa unajitambua na kuwatambua wenzako?
 
We msengee unalaana kilo 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…