Vitu vizuri unavyovikumbuka kwa mpenzi wako

Anavyonipenda tu mpk nahisi ni kamalaika..🤣
Jina langu huwa analitamka kiutamu na kale kasauti kake akiita kenzyyy Yani Kama pepo unaiona hii hapa! Mengine siri ila chakuongezea sio msumbufu mara leo anune mara sijui alete mkwara huu nooo kabisa Toto ya watu imetulia haina makuu..

Nyie Bata mi napendwa walahii..🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu unapendwa mpaka wengine unatuona bata
 
Back
Top Bottom