Vitu vya kuepuka kufanya ukiwa unaendesha gari ya Automatic

Vitu vya kuepuka kufanya ukiwa unaendesha gari ya Automatic

Yeah mfano from D to R hapo umebadili gear
Mkuu hiyo kitu hakuna tena gari za automatic ndio zimeundwa kuhimili hilo likitokea kwa bahati mbaya tofauti na gari za manual, nilishaona video gari mbili zilifanyiwa text auto na manual gari ya manual iliua kitu kwenye mfumo wa gear box na auto ilivumilia mshtuko huo.

NB: Sisemi ni jambo zuri kutoka R kwenda D, ila sio sahihi kusema kuwa kutoka N kwenda D kuna madhara yoyote kwa gari ya Automatic hata ikiwa kwenye motion. Nipo tayari kukusolewa kwa mwenye ufahamu zaidi
 
Kwenye neutral gear hapo pana mashaka sana, leta technical details za tatizo la kutumia neutral gear kwenye taa nyekundu, kwani wataalamu wanashauri kuweka neutral ili kupunguza friction ya gearbox, na itapunguza heat hivyo itadumu kwa muda mrefu, kuliko kusimama muda mrefu ukiwa kwenye drive mode alafu umezuia kwa brakes tu.

Kimsingi namba 1 mpaka 4 nina mashaka nazo, elezea in details asee
Umeongea ukweli mtupu
 
1. Kushuka kwenye mteremko gari ikiwa neutral, hii inasababisha kuzuia oil kusambaa na kusababisha msuguano kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu.
Oil haisukumwi na Gearbox, inasukumwa na oil pump ambayo iko attached na engine na sio gearbox

2. Kukanyaga mafuta kabla ya kubadilisha gear. Hii ni hasa kwa vijana unawasha gari na kuanza kupiga resi, kitendo hicho husababisha msuguano mkali na unaweza kuharibu sehemu za engine.
Hii ni case ya Manual car tu. Automatic hata kama upo kwenye mwendo na umekanyaga mafuta unaweza kuchange (between driving gears tu lakini) bila ya wasiwasi .

3. Kubadilisha gear wakati gari bado inatembea, hakikisha unakamata brake kwanza ndipo ubadilishe gear.
Kwenye Gari Automatic muda pekee unatakiwa ukanyage brake wakati wa kuchange gears ni kutoka Drive kwenda Reverse tu. unaweza ukachange gears za Driving bila brake na hata ukiwa kwenye mwendo mkali bila kusababisha tatizo.

4. Kuweka neutral kweye taa nyekundu kwenye taa za barabarani, watu wengi hufanya hivyo ili kusave mafuta lakini kiasi unachosave ni kidogo sana kulinganisha na gharama ya tatizo unaloweza tengeneza, tumia brake ili gari liendelee kuwa kwenye drive mode, madhara hutokea unapoweka na kutoa neutral.
Hii sio kweli, ukiweka Neutral, ni kwamba umedisconnect engine from Gearbox, sio kwamba una save mafuta tu, bali una sabe hata life span ya gearbox yako.

5. Kuweka parking kabla gari halijasimama kabisa. Hakikisha gari limesimama kabisa ndipo unaweka parking.
Hii ndio point pekee hujakosea

7. Kuacha mafuta yakiwa machache katika tank, tank la mafuta linatakiwa kuwa full au kuwa nusu lakini sio chini kabisa. kuwa full kunasaidia engine na sehemu nyingine kuwa cool.
The only reason ambayo unatakiwa ujitahidi usirun on low fuel kila saa ni kwa sababu ya Fuel pump, Mafuta hayatumiki kuweka any part of the engine/car cool. Na hio ni kwa sababu yanatolewa kwenye tank na kupelekwa kwenye engine kufanya mripuko (that is not cooling)
 
chilubi, Maelezo murua kabisa haya. Naomba kufahamishwa kitu hapa. Ninachojua mimi gari ikiwa free (Neutral) maana yake hakuna muunganiko wa moja kwa moja kati ya gear box na engine hivyo gari inaweza hata ikasimama na engine ikiwa imewashwa (ON). Sasa inakuwaje unakuta gari (Auto) ipo kwenye drive gear na engine iko ON lakin imesimama, Je ile disconnection ya engine na gear box huwa inafanyikaje hapa?
 
Yupo sahihi wala hajakosea. Movement yoyote ya ile gear lever may be from P to D hapo umebadili gear
Hayupo sahihi kabisa. Huyo ni muuza magari na sio Fundi wala Dereva, angalia point # 1 hadi 4 ni za Manual
Gear ipo kwenye mwendo utatoaje stick wakati Auto haina Clutch?

Pitia post # 18 majibu yake yapo hapo. Siku hizi kuna gari kibao zina Auto na Manual lakini uendeshaji wake sio huo hiyo gearbox ataitupa
 
Maelezo murua kabisa haya. Naomba kufahamishwa kitu hapa. Ninachojua mimi gari ikiwa free (Neutral) maana yake hakuna muunganiko wa moja kwa moja kati ya gear box na engine hivo gari inaweza hata ikasimama na engine ikiwa imewashwa (ON). Sasa inakuwaje unakuta gari (Auto) ipo kwenye drive gear na engine iko ON lakin imesimama, Je ile disconnection ya engine na gear box huwa inafanyikaje hapa?
Hapo kuna mambo tofauti. Kawaida gari ya auto ukiweka D tu utaona inaanza kutembea kidogo kidogo, mwendo ambao unaweza ukashuka na kuzuia kwa mikono mbele na isiende.

Sasa unapoweka D na haiendi hivyo, basi huenda brake zime jam kama ni flat area, ama pana muinuko au load ya gari ni kubwa hivyo bila kupress gas haiendi ama gari inamiss.
 
Back
Top Bottom