Vitu vya kuepuka kufanya ukiwa unaendesha gari ya Automatic

Vitu vya kuepuka kufanya ukiwa unaendesha gari ya Automatic

HATA hapa siungi mkono acha mtu afanye anavyoweza, Maofisiini wanajaziwa Full Tank na unapewa safari hawapitii vituo vya Binafsi hata siku moja
Hakuna Ofisi inajaza robo Tank
Kwa staili hii ya maarifa ndo utaielewa Gearbox?😆😆😆😆😆😆Nashukuru sana fundi!
 
Kwa hiyo hata kutoa D kuweka R wakati gari inatembea ni sawa tu Ukwaju
Mkuu hapo ndipo nilipokataa kabisa
siku hizi kuna Gari zina Automatic na Manual
ukileta mchezo huo gear box utaikaanga
simama kwanza peleka gear km ni ya mbele au ni ya nyuma
Na gari km ipo mwendo speed 180 huna ubavu wa kuitoa ukatafute 40km/h bora urudi D uanze upya
au tumia breki
jamani labda mm siielewi Mada hasa Post #1 point 1-4
 
Tafuta maarifa kwa bidii kwanza kaka!
Km Mwl ni wewe bora hii leseni yangu nitairudisha kabisa, nakushauri Kaka kaagize magari nitakuelewa lkn kwa hapa duhh nisamehe
KIMOMWEMOTORS, Kwanza lazima tujue why hatupaswi kuweka Neutral kwenye mteremko na ni gear ipi sahihi kushukia nayo mlima in an automatic car.
First, gari linakuwa na uwezekano mkubwa sana wa kupoteza steering wheel control;unapeleka stress kubwa ya kucontrol gari kwenye brake pads hivyo kulika mno na kuoverheat,engine inapokuwa ina run huwa inatoa braking function ambayo inazipunguzia brake shida ya kuoverheat.
mbona kuna engine brake, (stop engine) retarder (redota) nk
 
Mkuu hapo ndipo nilipokataa kabisa
siku hizi kuna Gari zina Automatic na Manual
ukileta mchezo huo gear box utaikaanga
simama kwanza peleka gear km ni ya mbele au ni ya nyuma
Na gari km ipo mwendo speed 180 huna ubavu wa kuitoa ukatafute 40km/h bora urudi D uanze upya
au tumia breki
jamani labda mm siielewi Mada hasa Post #1 point 1-4
Sasa fundi mpaka gari imefika speed 180km/hr manake si ipo D automatically?au unadhan ipo gear gan kwenye auto unayoisemea?
 
Km Mwl ni wewe bora hii leseni yangu nitairudisha kabisa, nakushauri Kaka kaagize magari nitakuelewa lkn kwa hapa duhh nisamehe

mbona kuna engine brake, (stop engine) retarder (redota) nk
Nikishawazaga mafundi wengi wa kibongo wa staili yako;bora hata nibaki na miguu yangu nisipate presha😆😆😆!Tatizo mafundi wengi wa kibongo mnapenda sana ujuaji,hampendi kujifunza na kuelewa kazi;sasa unanipa ukakasi,wewe ni fundi wa kutibu gari au kuongeza magonjwa kwenye gari?manake wengine wanapelekaga magari garage na tatizo moja Ila likirudi matatizo kumi;hamna namna zaid ya kulipaki kwa hayo kumi mapya😃😃
 
Sasa fundi mpaka gari imefika speed 180km/hr manake si ipo D automatically?au unadhan ipo gear gan kwenye auto unayoisemea?
maana yangu ikisha kuwa speed iwe 10km/h au 180km/h usiitoe gea km ni Automatic
sasa mleta Mada kasemaje hapa chini
1. Kushuka kwenye mteremko gari ikiwa neutral, hii inasababisha kuzuia oil kusambaa na kusababisha msuguano kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu.
3. Kubadilisha gear wakati gari bado inatembea, hakikisha unakamata brake kwanza ndipo ubadilishe gear.
Imetolewa na Kimomwe Motors (T) Ltd, waagizaji wa magari. 0746267740
hii sio AUTO ni manual bado ni Makosa na tumeshayajadili sana humu Jukwaa la Magari
naomba nikuwekee Mada zote hapa chini tulishamaliza
 
Nikishawazaga wafundi wengi wa kibongo wa staili yako;bora hata nibaki na mguu yangu nisipate presha😆😆😆
Mguu weka kwenye breki au breki za kudunki (kanyaga achi kanyaga) km mteremko itasimama tena kigari kidogo unapata presha
Malori vipo vitu vyake vya kutumia
 
Humu ndani watu hujitoa utu uzima nakujiweka kuwa watoto siku zote mtu akileta ushauli flani watu huanza kuleta utoto wao nakuhalibu story nzima iliyokuja mimi kama mimi uzi huu nimeulelewa sana katoa angalizo sasa nyinyi mnaojiona mnajuwa sana mlikuwa wapi kutuletea uzi kama huu acheji ujinga
 
Hata hapa siungi mkono acha mtu afanye anavyoweza, Maofisini wanajaziwa full tank na unapewa safari hawapitii vituo vya binafsi hata siku moja. Hakuna ofisi inajaza robo tank
Hapa naona na ww umejibu kulingana na yale unayoyawaza kichwani mwako lakini siyo uhalisia. Hahahah yaani eti kwa sababu ofisini hawajazi full tank ndio inakuwa justification ya kwamba ukijaza full tank hakuna athari. Hapo umepotosha.

Any kind of load ambayo inaongezeka kwenye gari lazima iathiri performance ya engine hasa kwenye fuel consumption. Hayo maelezo aliyokupa huyo jamaa yapo sahihi sana.

No wonder watu wanaongeza tu vitu kwenye magari yao bila kuwa na ufahamu jinsi wanavyoathiri performance za magari yao.
 
Hajasema gari lisijazwe full tank. Ameshauri kujaza full tank kama anaenda safari za mbali. Ila kama ni route za kawaida kashauri uweke half tank... Na katika hili yupo sahihi. Uzito wa gari ikiwa full tank na uzito wa gari ikiwa half tank ni vitu viwili tofauti. Hata performance zake haziwezi kuwa sawa. Mbna hili lipo wazi.
Kama nilisema kila mtu anacomment hapa anauza magari basi nawaomba msamaha
Ila sipendi mtu asiyekuwa na uzoefu akaingilia kazi za wengine, kwani kama ni Dereva au Fundi, au muuza magari tushauriane wote lakini sio member aje aseme gari lisijazwe Full Tank, au Gear ya automatic unaweza ichomoa popote, rudi Post #1 soma vizuri
 
Hahahah... Hawa mafundi wa gereji wanaishi kwa kukariri mkuu. Usimlaumu sana[emoji23]. Umemjibu kitaalamu sana ila kwa sababu yeye alishakaririshwa ndo mmeshindwa kuelewana.

Ila watu wanaoshinda gereji bhana wanaonaga kama magari walizaliwa nayo hivi. Kumbe weupe tu.
Kwa staili hii ya maarifa ndo utaielewa Gearbox?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nashukuru sana fundi!
 
Hajasema gari lisijazwe full tank. Ameshauri kujaza full tank kama anaenda safari za mbali. Ila kama ni route za kawaida kashauri uweke half tank... Na katika hili yupo sahihi. Uzito wa gari ikiwa full tank na uzito wa gari ikiwa half tank ni vitu viwili tofauti. Hata performance zake haziwezi kuwa sawa. Mbna hili lipo wazi.
Humu ndani watu hujitoa utu uzima nakujiweka kuwa watoto siku zote mtu akileta ushauli flani watu huanza kuleta utoto wao nakuhalibu story nzima iliyokuja mimi kama mimi uzi huu nimeulelewa sana katoa angalizo sasa nyinyi mnaojiona mnajuwa sana mlikuwa wapi kutuletea uzi kama huu acheji ujinga

uzi za namana hii mbona zipo humu tumeshazijadili
nachoshangaa hamtaki mtu ajibiwe au chalenge
hata darasani Mwl anapewa challenge labda Primary
hakuna mahali nimezuia Mjadala usiendelee
Ila kwa Gari za serikali hata watu binafsi acheni wajaze mafuta kuna sehemu hakuna vituo km hivyo
Ukitoka Dooma kwenda Dar unajaziwa full na akiba
sasa mnasema gari ikiwanzito haina perfomance ni wapi walisema kitu hicho
 
chilubi,Huu ndio utamu wa JF.
Ukionyesha ujuzi wa mambo wanajitokeza wajuzi zaidi yako na mwisho wa siku unaonekana mwanafunzi tu.
 
Huu ndio utamu wa JF.
Ukionyesha ujuzi wa mambo wanajitokeza wajuzi zaidi yako na mwisho wa siku unaonekana mwanafunzi tu.
Kuna watu kama hawa kina chilubi wanakosoa na wapo tayari kukosolewa lakini kusema usiweke Full tank ukitoka Dodoma utafika nalo Dar dah jamani mtaniwia radhi Uongo hapa hautapita

chilubi, mbona hawa hatuwabishii
 
Km Mwl ni wewe bora hii leseni yangu nitairudisha kabisa, nakushauri Kaka kaagize magari nitakuelewa lkn kwa hapa duhh nisamehe

mbona kuna engine brake, (stop engine) retarder (redota) nk
Hahahah we jamaa kushinda gereji siyo kuyajua magari. hiyo license uliyonayo nadhani ndio zile za kulipia then unapewa license. Huyo aliyekushauri ukajielimishe wala hajakosea.

Eti kwa sababu tu gari ina Exhaust brake na Retarder ndio utie neutral mteremkoni. Hizo ni akili za wapi??? Ukitia neutral mteremkoni unaweza shindwa kuicontrol hiyo gari.

Halafu hizo retarder na exhaust brake most zinapatikana kwenye magari makubwa.
 
Wewe fundi gereji mambo ya performance utayajulia wapi? Karudie tena kusoma maana nimeyazungumzia mafuta kama mzigo ila bado umeshindwa kunielewa Ukwaju
 
Kwani kuna mtu kasema usiweke full tank????
kuna watu kama hawa kina chilubi wanakosoa na wapo tayari kukosolewa
lkn kusema usiweke Fulltank ukitoka Dom utafika nalo Dar
dah jamani mtaniwia radhi Uongo hapa hautapita

mbona hawa hatuwabishii
 
tatizo
Hahahah we jamaa kushinda gereji siyo kuyajua magari. hiyo license uliyonayo nadhani ndio zile za kulipia then unapewa license. Huyo aliyekushauri ukajielimishe wala hajakosea.

Eti kwa sababu tu gari ina Exhaust brake na Retarder ndio utie neutral mteremkoni. Hizo ni akili za wapi??? Ukitia neutral mteremkoni unaweza shindwa kuicontrol hiyo gari.

Halafu hizo retarder na exhaust brake most zinapatikana kwenye magari makubwa.
unajibu post mojamoja tena za kumshambulia mlengwa wakati mm nimeielezea tofauti kati ya magari hayo makubwa na madogo
Mguu weka kwenye breki au breki za kudunki (kanyaga achi kanyaga) km mteremko itasimama tena kigari kidogo unapata presha
Malori vipo vitu vyake vya kutumia
samahani nimejua sasa kuwa kuna Mada zinajirudia zilishakuwepo mwaka jana 2018 na hamkuwepo hivyo mnaziona mpya, ni vizuri tukakosoana na kuelimishana mmsilazimishe kuwa mna Leseni
wengine Leseni zetu tukiziweka hapa Hamjazaliwa wala Walimu wenu wa Veta au DIT
Mada ya 2015 Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali
 
Back
Top Bottom