Vitu vya kuepuka kufanya ukiwa unaendesha gari ya Automatic

Vitu vya kuepuka kufanya ukiwa unaendesha gari ya Automatic

Kwani kuna mtu kasema usiweke full tank????
mm najaza full tank huo ushauri wako wa half tank siutaki
nimekwambia vitu hivyo tulishavijadili labda umeingia na ID nyingine mwaka jana
1573829493259.png
 
Ukwaju, Sasa hapo ndo umejibu nini. Ukipewa fact unaanza kujiona inferior.

Bado hiyo leseni yako inaonekana ni ya kupewa hata kama ina umri mkubwa kuliko mwalimu wangu.
 
Hahahah sana hapo ndo umejibu nini. Ukipewa fact unaanza kujiona inferior.
Bado hiyo leseni yako inaonekana ni ya kupewa hata kama ina umri mkubwa kuliko mwalimu wangu.
unajua unaacha mada unaniuliza Full tank nani kasema unaacha mada unafuatilia Leseni yangu nilipewa pembeni Hizo Mada zisome usianzishe Mada za Kitoto humu ukuna wazee Nendeni facebook ambako HAMBISHIWI ukisema Gari Automabile inapaa basi wote wanakusifiwa
hapa huleti UONGO wala nje ya MADA
 
Hii post ya Nani kweli kuna watu mnabifu za kilabuni
Hajasema gari lisijazwe full tank. Ameshauri kujaza full tank kama anaenda safari za mbali. Ila kama ni route za kawaida kashauri uweke half tank. Na katika hili yupo sahihi. Uzito wa gari ikiwa full tank na uzito wa gari ikiwa half tank ni vitu viwili tofauti. Hata performance zake haziwezi kuwa sawa. Mbona hili lipo wazi.
Hapa unamshauri Nani? Watu wana pesa zao wanataka wajaze wasisumbuke njiani
kwanza ukataji wa mafuta unaharibu pump
na katika Log book hakuna nusu tank maliza upewe full.
 
unajua unaacha mada unaniuliza Full tank nani kasema unaacha mada unafuatilia Leseni yangu nilipewa pembeni Hizo Mada zisome usianzishe Mada za Kitoto humu ukuna wazee Nendeni facebook ambako HAMBISHIWI ukisema Gari Automabile inapaa basi wote wanakusifiwa
hapa huleti UONGO wala nje ya MADA
Wewe kuzungumzia kwamba umepewa leseni kabla mwalimu wangu hajazaliwa ndio ilikuwa siyo nje ya maada.

Ukweli unabaki mafundi garage mnajikutaga mnajua kishenzi yani. Ila ni weupe mlio wengi kama ww.
 
Sasa hapo mimi nimeshauri mtu. Nimesemaje?
Hii post ya Nani kweli kuna watu mnabifu za kilabuni

Hapa unamshauri Nani
watu wana pesa zao wanataka wajaze wasisumbuke njiani
kwanza ukataji wa mafuta unaharibu pump
na katika Log book hakuna nusu Tank maliza upewe full
 
. Na katika hili yupo sahihi. Uzito wa gari ikiwa full tank na uzito wa gari ikiwa half tank ni vitu viwili tofauti. Hata performance zake haziwezi kuwa sawa. Mbna hili lipo wazi.

Wewe kuzungumzia kwamba umepewa leseni kabla mwalimu wangu hajazaliwa ndio ilikuwa siyo nje ya maada.
Ukweli unabaki mafundi garage mnajikutaga mnajua kishenzi yani. Ila ni weupe mlio wengi kama ww.
Sasa hapo mimi nmeshauri mtu. Nmesemaje?
Haya umeshinda yaishe mm nifundi gereji kwa gari zangu tuu, na ni dereva wa Leseni miaka 30 iliyopita nililetewa nyumbani, tatizo sidanganywi, na sio hapa tu popote utakaponikuta tutasahihishana uko sawa sikunyimi LIKE, lkn sio nijifanye Mod nizuie Mjadala watu wadanganywe
 
Yaani mada ya magari imehama sasa ni michambo tufundisheni magari tuyajue
 
Huu uzi ni wa watu wazito sisi wa 2WD ngoja tukae pembeni.
Ila ndugu zangu mnaomiliki mkoko hasa za manual naomba mnisaidie hili swali.

Ukiwa unaendesha gari na upo speed kisha ghafla ukataka kusimama, je ni hatua gani ya kufuata? Kukanyaga clutch kwanza ndio unakanyaga break au kukanyaga break kwanza ndio unakanyaga clutch naombeni jibu.
Kanyaga clutch then break.
 
42774277, Samahani mkuu! Hilo tank ni after market? Ujazo wake haukuwa calculated kuendana na uwezo wa injini? Kwamba waliposema tank ni 65L hawakuwa wamecalculate uzito wake kulinganisha na uwezo wa injini?
Ipo hivi Kila gari maximum load yake. Hivyo hata huo uzito wa mafuta full tank ni lazima tu utakuwa within allowable weigh range. Lakini point hapa ni uzito unapozidi kuongezeka kwenye gari the bad the fuel economy gari inakuwa nayo. Ni hivo tu...
 
Kuna watu hutoa P, D, R, 2 au L wakati gari ikiwa katika motion bado. Anamaanisha usifanye mabadiliko hayo ukiwa upo katika mwendo.
DLna2 hizo unaweza kutumia bila kusimama hata mannual za magari zinajieleza wazi. L na 2 zinatumika kama engine brakes kwenye magari automatic, it doesnt make sense et naanza kuteremka mteremko nisimame niende 2 au L then nikimaliza kuteremka nisimame ndio niweke D!!!

Ukweli ni kuwa either kimomwe kaelezea vitu ambavyo hata yeye hana ueledi navyo au hajatoa maelezo ya kutosha watu kumuelewa.
 
John7371, aximum speed ya L2 ni 108kph. Gear hizo za L zinatumika kama engine brake kwa mujibu wa manual ya gari.Ukizidi speed hizo unaharibu transmission ya gari lako palepale. Hii ni nyongeza tu
 
Kuna watu kama hawa kina chilubi wanakosoa na wapo tayari kukosolewa lakini kusema usiweke Full tank ukitoka Dodoma utafika nalo Dar dah jamani mtaniwia radhi Uongo hapa hautapita

chilubi, mbona hawa hatuwabishii
Ni kweli mkuu Kuna vitu vingine mtu hata Kama huvijui ila ukitumia logic ya kuzaliwa nayo unaona kabisa Kama ni uongo.
 
Sasa kila mtu akitaka kutumia utashi wake kuamua kama kitu fulani ni kweli au uongo basi kila mtu atakuwa na majibu yake.

Mbona facts zipo mitandaoni ila ni uvivu tu wa watu kujiongezea maarifa...
Ni kweli mkuu Kuna vitu vingine mtu hata Kama huvijui ila ukitumia logic ya kuzaliwa nayo unaona kabisa Kama ni uongo.
 
Sijaelewa unaposema kubadili gia wakati gari ni automatic, means kitu kinajibadilisha chenyewe
Alichokusua hapo ni unakusudia kusima ila kabla gari haijasima kabisa ukatoa gia IMA ukapeleka katika livasi au kuweka ktk pakingi au mfano wa hayo
 
DLna2 hizo unaweza kutumia bila kusimama hata mannual za magari zinajieleza wazi. L na 2 zinatumika kama engine brakes kwenye magari automatic, it doesnt make sense et naanza kuteremka mteremko nisimame niende 2 au L then nikimaliza kuteremka nisimame ndio niweke D!!!

Ukweli ni kuwa either kimomwe kaelezea vitu ambavyo hata yeye hana ueledi navyo au hajatoa maelezo ya kutosha watu kumuelewa.
Shukrani kwa ufafanuzi
 
Sasa kila mtu akitaka kutumia utashi wake kuamua kama kitu fulani ni kweli au uongo basi kila mtu atakuwa na majibu yake.

Mbona facts zipo mitandaoni ila ni uvivu tu wa watu kujiongezea maarifa...
Sio hivyo mkuu hapa Kuna makundi matatu au manne yanakinzana.
1.Kuna waliosoma na kukariri theories kwenye majarida tu.
2.Kuna waliofanya practice kwa kuendesha magari kwa muda mrefu.
3.Kuna mafundi wa magari
4.Kuna wasiojua kitu ila wanasikia au kusimuliwa tu na watu wengine.
Sasa Kama wewe ni mtu wa kundi namba 1 huwezi kumdanganya mtu wa kundi namba 2 & 3 ila unaweza kumdanganya mtu wa kundi namba 4.
Ndio kinachotokea hapa kwenye hii mada.
 
Back
Top Bottom