Sijaelewa unaposema kubadili gia wajati gari ni automatic means kitu kina jibadilisha chenyewe
Namba 3 sijaelewa
Kuna watu hutoa P, D, R, 2 au L wakati gari ikiwa katika motion bado. Anamaanisha usifanye mabadiliko hayo ukiwa upo katika mwendo.Gari auto lakini kukanyaga break unapobadilisha gear
NimekuelewaKuna watu hutoa P, D, R, 2 au L wakati gari ikiwa katika motion bado. Anamaanisha usifanye mabadiliko hayo ukiwa upo katika mwendo.
Pamoja, mzeeNimekuelewa
Kuna gear sijawahi zitumia toka nijue kuendesha gari, Neutral, 2 na L. Mimi ni mguu kwenye break hata masaa matatu fresh tu.
Elezea utumiaji wa 2 na L
Mkuu hiyo kitu hakuna tena gari za automatic ndio zimeundwa kuhimili hilo likitokea kwa bahati mbaya tofauti na gari za manual, nilishaona video gari mbili zilifanyiwa text auto na manual gari ya manual iliua kitu kwenye mfumo wa gear box na auto ilivumilia mshtuko huo.Yeah mfano from D to R hapo umebadili gear
Umeongea ukweli mtupuKwenye neutral gear hapo pana mashaka sana, leta technical details za tatizo la kutumia neutral gear kwenye taa nyekundu, kwani wataalamu wanashauri kuweka neutral ili kupunguza friction ya gearbox, na itapunguza heat hivyo itadumu kwa muda mrefu, kuliko kusimama muda mrefu ukiwa kwenye drive mode alafu umezuia kwa brakes tu.
Kimsingi namba 1 mpaka 4 nina mashaka nazo, elezea in details asee
Pengine amemaanisha reverse, kuna wenye haraka, ikiwa bado inaserereka mbele, anatwanga R. Lazima uone gari inashtuka au kugonga ndani ya injini.Gari auto lakini kukanyaga break unapobadilisha gear
Hii hapa tuachieni sie wa "I know my Car"7. Kuacha mafuta yakiwa machache katika tank, tank la mafuta linatakiwa kuwa full au kuwa nusu lakini sio chini kabisa. kuwa full kunasaidia engine na sehemu nyingine kuwa
Learner kwenye auto?Itakuwa bado ni learner nadhani.
Labda kama linabebwa mgongoni ndio litakuwa full tank mda wote π π πFull tank muda wote?
Oil haisukumwi na Gearbox, inasukumwa na oil pump ambayo iko attached na engine na sio gearbox1. Kushuka kwenye mteremko gari ikiwa neutral, hii inasababisha kuzuia oil kusambaa na kusababisha msuguano kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu.
Hii ni case ya Manual car tu. Automatic hata kama upo kwenye mwendo na umekanyaga mafuta unaweza kuchange (between driving gears tu lakini) bila ya wasiwasi .2. Kukanyaga mafuta kabla ya kubadilisha gear. Hii ni hasa kwa vijana unawasha gari na kuanza kupiga resi, kitendo hicho husababisha msuguano mkali na unaweza kuharibu sehemu za engine.
Kwenye Gari Automatic muda pekee unatakiwa ukanyage brake wakati wa kuchange gears ni kutoka Drive kwenda Reverse tu. unaweza ukachange gears za Driving bila brake na hata ukiwa kwenye mwendo mkali bila kusababisha tatizo.3. Kubadilisha gear wakati gari bado inatembea, hakikisha unakamata brake kwanza ndipo ubadilishe gear.
Hii sio kweli, ukiweka Neutral, ni kwamba umedisconnect engine from Gearbox, sio kwamba una save mafuta tu, bali una sabe hata life span ya gearbox yako.4. Kuweka neutral kweye taa nyekundu kwenye taa za barabarani, watu wengi hufanya hivyo ili kusave mafuta lakini kiasi unachosave ni kidogo sana kulinganisha na gharama ya tatizo unaloweza tengeneza, tumia brake ili gari liendelee kuwa kwenye drive mode, madhara hutokea unapoweka na kutoa neutral.
Hii ndio point pekee hujakosea5. Kuweka parking kabla gari halijasimama kabisa. Hakikisha gari limesimama kabisa ndipo unaweka parking.
The only reason ambayo unatakiwa ujitahidi usirun on low fuel kila saa ni kwa sababu ya Fuel pump, Mafuta hayatumiki kuweka any part of the engine/car cool. Na hio ni kwa sababu yanatolewa kwenye tank na kupelekwa kwenye engine kufanya mripuko (that is not cooling)7. Kuacha mafuta yakiwa machache katika tank, tank la mafuta linatakiwa kuwa full au kuwa nusu lakini sio chini kabisa. kuwa full kunasaidia engine na sehemu nyingine kuwa cool.
Hayupo sahihi kabisa. Huyo ni muuza magari na sio Fundi wala Dereva, angalia point # 1 hadi 4 ni za ManualYupo sahihi wala hajakosea. Movement yoyote ya ile gear lever may be from P to D hapo umebadili gear
Huyu jamaa nina shaka na elimu yake ya ufundi. Kaandika kama vile anafundisha driving house girl wakeAsante lakini nitarejea kwa masahihisho hasa huko kwenye matumizi ya neutral. Kwa mfano hiyo number moja sio kweli
Hapo kuna mambo tofauti. Kawaida gari ya auto ukiweka D tu utaona inaanza kutembea kidogo kidogo, mwendo ambao unaweza ukashuka na kuzuia kwa mikono mbele na isiende.Maelezo murua kabisa haya. Naomba kufahamishwa kitu hapa. Ninachojua mimi gari ikiwa free (Neutral) maana yake hakuna muunganiko wa moja kwa moja kati ya gear box na engine hivo gari inaweza hata ikasimama na engine ikiwa imewashwa (ON). Sasa inakuwaje unakuta gari (Auto) ipo kwenye drive gear na engine iko ON lakin imesimama, Je ile disconnection ya engine na gear box huwa inafanyikaje hapa?