Vitu vya kuepuka kufanya ukiwa unaendesha gari ya Automatic

Yan gari ni lako umenunua kwa pesa zako alafu bado waja wanakuchangaya nalo mara usifanye ivi mara vile...[emoji51]
 
Kwani kuna mtu kasema usiweke full tank????
Bro.. Kuna watu ni wabishi kwa asili yao. hivyo usitumie nguvu nyingi kumu elimisha MTU kama huyo utamaliza ugali wa bure.
Ila kiasili ni kama una baisikeli umepakia gunia la 100kg kila unapo anza safari itakulazimu utumie nguvu za ziada mpaka upate mwendo ambao utaku sapoti.. Na gari IPO hivyo hivyo ikiwa full tank kwa mizunguko ya mjini tu. Inaongeza ulaji wa mafuta
 
42774277,
Nadhani watengenezaji wa magari huzingatia hili. Kama gari let say inatakiwa isizidiahe 1tone,wanahesabu mpaka full loaded tank. Zamani kulikuwa na kaswali "MELI INABEBA NG'OMBE 100, KATIKATI YA SAFARI HAO NG'OMBE WAKAJISAIDIA (HAJA KUBWA) JE! MELI ITAZAMA AMA ITAENDELEA KUELEA? Jibu likaja kuwa hicho kinyesi hakiongezi uzito wa meli
 
Hapo ukwaju kanishanga ipo 180kmh hiyo itakuwa gear gani? L , 2 au 3? Au Reverse? Sijamwelewa anaposema itabidi urudishe kwenye D

Sasa fundi mpaka gari imefika speed 180km/hr manake si ipo D automatically?au unadhan ipo gear gan kwenye auto unayoisemea?
 

Neutral wakati unasukuma Gari tuu, madhara huwezi kuyaona siku moja tu.
 
Huyu ametafuta kujitangaza uuzaj wa magari ila amechagua mlango mwembamba wa kujitumbukiza kwenye technical issues.
 
hio namba 3 sijaielewa...
 
Yah, Hii inawezekana tu pale ambapo mafuta kwako Ni Kama mtaji wa garilo, yaani ukishajaza full tank ukifanya Safari ya Km kadhaa unaongezea mafuta kwa kadiri ulivyotumia gari siku hiyo ili kutoathiri mtiririko wa mafuta na utanikumbuka juu ya hili na utaenjoy Sana.
Full tank muda wote!!
 
Kwa mitelemko hii ya kwetu mi ni N mpaka nitakapopata mwinuko gari ina miaka 7 toka ninaliendesha mi hata ninasubili watu wavuke barabara kwenye taa kwenye gasia yoyote aah breki inatumika sana nawala sijaona tatizo kubadili oil mara kwa mara
 
Dah...kwa gari yenye manual transmission haiwezekani kuingiza R wakati gari inaenda mbele....mfumo wake wa gia umelindwa kwamba R haiwezi kuingia Hadi gari isimame kabisa[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…