Infinite_Kiumeni
JF-Expert Member
- Jan 23, 2023
- 382
- 687
Maana ya date na mwanamke ni kukutana naye ili kutengeneza mazingira rahisi ya kufanya naye mapenzi, na mkiendana kuwa wapenzi.
Ila ukiharibu unapokutana na mwanamke, maana yake unakosa penzi na nafasi ya kufanya mapenzi.
Hivyo ni muhimu kuepuka haya ili kuongeza nafasi yako ya kupata penzi.
Usiongelee kuhusu ex wako.
Mahusiano yaliyopita yameshapita.
Ukiongelea ex wako, ina maana bado unamfikiria mno.
Hata kama una kitu kinakuumiza kuhusu ex na unatamani ukiongelee, tambua kuwa sio muda sahihi.
Hata kama mwanamke akikuuliza kuhusu ex wako, usimuongelee. Ukimsema ex wako. Unaweza mjibu tu kuwa “tulipata muda mzuri pamoja na tukafurahi kwa muda tuliopata” basi.
Kutaka mahusiano mapema.
Kazi yako wewe ni kufurahi na mwanamke.
Kutengeneza mazingira atakayojisikia usalama na amani kwako. Mazingira ya kufanya mapenzi.
Onesha hisia za mapenzi kiasi. usiwe na hisia kuliko mwanamke. Ataona yupo na mwanamke mwenzake.
Hayo ya mahusiano mwachie yeye.
Pia katika hili usijinyenyekeze kwa mwanamke ili kupata kitu.
Simamia misimamo yako na ujasiri wako.
Tabia isiyokubalika kijamii.
Kumfokea/ kumdhalilisha mhudumu/ mtoa huduma.
Wanawake wengi wamewahi fanya/ wanafanya uhudumu wa aina tofauti. Ukiwafokea utamkumbushia wateja wabaya na atakukataa.
Kuwafanya watu wengine waonekane wabaya ili kumvutia mwanamke.
Usichelewe.
Usimlazimishe mtu kufanya asichokitaka.
Kulaumu wengine mno.
Usimjaji kwa jinsi alivyo.
Usiangalie urembo wake. Angalia tabia yake.
Usimuulize vitu kama “mrembo kama wewe unakosaje mwanaume?”.
Huwezi jua kwa undani kwanini yupo hivyo.
Maswali kama hayo yatamkumbusha vitu anavyotaka kuepuka. Ikiwemo wewe unayeuliza.
Usiongee kuliko mwanamke.
Wanawake wanapenda kuongea.
Ukimpa nafasi kuongea anaweza ongea siku nzima na hutopata shida. Na hautaishiwa stori na mwanamke.
Ukiona unaishiwa stori na mwanamke ujue unaongea kuliko mwanamke.
We cha kufanya jiachie, mpe nafasi aongee lakini we ndo uwe kiongozi aongee kuhusu nini. Kama hutaki mada fulani badili mada.
Usimsifie kupita kiasi.
Ameshasifiwa sana.
Tangu ni mdogo. Inabidi ujitofautishe na wengine. Mfanye ahangaikie sifa yako. Isiwe ya bure bure kiasi kwamba akiuchukulia poa.
Unaweza msifia mara moja tu pale mnapokutana.
Ila iwe sifa ya ukweli sio “umependeza” ya juu juu tu.
Kutaka kumvutia mwanamke.
Hili husababisha wasiwasi.
Wasiwasi utakufanya ufanye vitu kinyonge, au bila moyo au kushindwa kumuongoza mwanamke.
Sasa ili kuondoa wasi, hakikisha;
Mnapokutana unapajua,
Usiwe siriaz sana (jiachie),
Usisubiri ruhusa yake kufanya unachokitaka.
Msikae kama mpo kwenye mahojiano (mkae karibu ki ubavu ubavu),
Msikae sehemu moja kwa muda mrefu (kama lisaa na nusu).
Usioneshe kumjua sana.
Hata kama umepata taarifa zake zote kwa marafiki zako.
Hata kama unamjua kiasi gani. Usimwambie unachojua kuhusu yeye.
Ila mwache aongee mwenyewe kuhusu ye mwenyewe.
Mpe zawadi ya kumsikiliza (wanawake wanapenda kusikilizwa).
Usimuachie mipango yeye.
We mwanaume ndo upange sehemu ya kwenda na muda wa kukutana.
Panga sehemu ambayo itakua rahisi kurudi kwako na kufanya naye mapenzi.
Na kama unaona anakuelewa mpangie na nguo za kuvaa.
Usije ukamuambia mwanamke “ivi sehemu gani unapenda kwenda”/ “nambie wewe sehemu tunaenda”/ “mi sijui sehemu nzuri za kwenda, we unajua?”/ “chagua wewe siku tutoke”.
Ila mkitoka usimpangie cha kula, japo unaweza kumpangia achague nini kulingana na bajeti yako.
Kuwa kiongozi wake kwa kila hatua. Ukiongoza na yeye kufata, unamfanya ajisikie amani na inakua rahisi kwake kujiachia kwako/ kukuachia mwili wake. Ila ukimuachia yeye uongozi, atakuongoza kwenye njia ya kuwa rafiki yake.