K kikokoteo JF-Expert Member Joined May 11, 2024 Posts 634 Reaction score 973 Mar 17, 2025 #61 Leejay49 said: kuna mahali niliona Smart911 ameandika ""Ukae uchi mbele yake "" Click to expand... ๐น๐น๐น
Leejay49 said: kuna mahali niliona Smart911 ameandika ""Ukae uchi mbele yake "" Click to expand... ๐น๐น๐น
Johnie2323 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2024 Posts 304 Reaction score 298 Mar 17, 2025 #62 Mada kama hizi zishapitwa na wakati kwa kpnd hichi. Cha 2025. Unampenda mwanamke iki iweje! Mpende Mungu
Mada kama hizi zishapitwa na wakati kwa kpnd hichi. Cha 2025. Unampenda mwanamke iki iweje! Mpende Mungu
Raia mpya JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 937 Reaction score 2,595 Mar 18, 2025 Thread starter #63 King Kong III said: Una umri gani? Click to expand... 26
Raia mpya JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 937 Reaction score 2,595 Mar 18, 2025 Thread starter #64 Simon10 said: Kuna shida ya kuwa maskini, ila hii ya kukosa akili na kutokujiamini ni inasikitisha sana Wewe ni dhaifu sana, achana na mapenzi kwa sasa Click to expand... Msaada sasa
Simon10 said: Kuna shida ya kuwa maskini, ila hii ya kukosa akili na kutokujiamini ni inasikitisha sana Wewe ni dhaifu sana, achana na mapenzi kwa sasa Click to expand... Msaada sasa
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Mar 18, 2025 #65 Raia mpya said: 26 Click to expand... Mwanamke haitakiwi akupende ,fanya mambo ili akuheshimu ,means akikuheshimu atakusikiliza hapo ndiyo wewe utaona unapendwa.....Jitahidi utafute pesa kwanza ,mwanamke hawezi muheshimu Dume suluari.
Raia mpya said: 26 Click to expand... Mwanamke haitakiwi akupende ,fanya mambo ili akuheshimu ,means akikuheshimu atakusikiliza hapo ndiyo wewe utaona unapendwa.....Jitahidi utafute pesa kwanza ,mwanamke hawezi muheshimu Dume suluari.