CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
AFCON ya mwaka 2027 inapigwa Tanzania, Kenya, na Uganda.
Sasa basi Afcon itakuwa na nyomi ya watu kutoka mataifa tofauti watao kuja kupiga kambi huku na kikubwa ni watakula, watakunywa.
Sasa kwa muda ulio bakia kuna vitu vinaweza kuwa na demand kubwa sana kipindi cha AFCON ila ni vizuri kuangalia season yaani msimu kujua itakuwa vipi wakati huo.
1. Nyama, nyama inaweza kuwa itaongoza kwa demand au kwa kuliwa kwa wingi sana sasa hapa ni kuangalia kwa muda huu unaweza fanya nini?
- Kuku,hawa wanaweza chukua namba 1 ila muda upo wa kutosha sana.Broiler inaweza kuwa ndio demand kubwa sana.
- Mbuzi, sasa hapa ni wakati wa kuanza kuzalisha mbuzi wa nyama kwa ajili ya Afcon, mbuzi wanaweza liwa sana wakati huo.
Kondoo, hawa wasichukuliwe poa kuna watu, mataifa wanapenda sana kondoo kuliko hata mbuzi.
- Samaki' muda pia unatosha kwa samaki hawa wa maji chumvi.
Mayai' huenda hii ikawa ni products itakayo kuwa na demand ya juu kabisa pia, mayai yanaweza pasuliwa sana Afcon, hivyo pia ni muhimu sana kujiandaa.
MATUNDA
Kwa matunda kwa sababu ya muda matunda kama maembe, mananasi,ndizi,muda upo wa kutosha.
Matunda yatakuwa na demand kubwa sana na haoa sasa South Africa na Egypt watanufaika vilivyo na hii shughuri.
- Limao/ Lime hii muda umeisha ila kama unayo miti basi iboreshe unaweza vuna pesa za kutosha wakati huo. Ila kama una limao zilizo ungwa ukiotesha sasa unaweza vuna wakati huo.
NB: Sijataja matunda ya muda mrefu na pia ninetaja matunda ambayo unaweza lima sasa na huo wakati ukifika ukavuna. Matunda kama Machungwa,Parachichi ni ya muda mrefu sana.
Matunda mengi yatatoka nje hasa Machungwa, Zabibu, Chenza, Kiwi na kadhalika.
MBOGAMBOGA
Hii muda ni wa kutosha kabisa mbogamboga pia zitakuwa na nagasi yake kubwa sana wakati huo wa afcon,
SPICE na HERBAL
Pia viungo vitakuwa na nafasi yake kubwa sana na ni wakati wa kujipanga vilivyo.
UYOGA
Uyoga unaweza kuwa na demand sana wakati wa AFCON hivyo ni kuanza maandalizi yake mapema sana ila haina haraka hii.
Kikubwa ni kuangalia uende na kipi, na uanze kujiandaa mapema hata kama ni cha muda mfupi ni kuanza mandalizi mapema.
Pia kumbuka wakati Afcon inaendelea bado na sisi maisha yanaendelea hivyo vitu vinaweza elekezwa sana Afcon na mtaani tukajikuta tuna uhaba pia wa vitu hivyo unapo zalisha pia sio kwa ajili ya Afcon tu bali hata mtaani kwetu.
Watu pia wanaweza concentrae na AFCON na kusahau mtaani hivyo ni kucheza na muda na akili,mtaani vitu vinaweza kuwa adimu sana.

- Nyama ya Ng'ombe, pia hii itakuwa na nafasi yake kubwa saba na kwa huu muda bado unatosha kunenepesha ng'ombe wako kadhaa kwa ajili ya afcon.
- Kiti moto, hii sio ya kuacha kabisa na muda pia unatosha kabisa kuwekeza hapa.
- Samaki' muda pia unatosha kwa samaki hawa wa maji chumvi.
Mayai' huenda hii ikawa ni products itakayo kuwa na demand ya juu kabisa pia, mayai yanaweza pasuliwa sana Afcon, hivyo pia ni muhimu sana kujiandaa.
MATUNDA
Kwa matunda kwa sababu ya muda matunda kama maembe, mananasi,ndizi,muda upo wa kutosha.
Matunda yatakuwa na demand kubwa sana na haoa sasa South Africa na Egypt watanufaika vilivyo na hii shughuri.
- Mapapai' hii ni rahisi na msimu wake ni almost all the year hivyo ni kuazalisha vilivyo mapapai kwa ajil hio.
- Maembe, sina hakika sana ila ya mjda mfupi yanaweza kutana na afcon,
- Starwberry hizi ni rahisi saba na zina musimu mwaka mzima, hizi zinaweza ziba nafasi ya matubda mengine, ukiweza zalisha strawberry za kutosha unaweza make sana Afcon.
- Nanasi, hizi pia zina muda wa kutosha kabusa wakati huo ukifika ni kuanza maandalizi ya mashamba tu.
- Tikitki na matango hizi zipo tu hivyo sio za kujadili sana.