Vitu vya kuzalisha(Vyakula) kwa ajili ya Afcon mwaka 2027, nikujiandaa kuanzia sasa

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
AFCON ya mwaka 2027 inapigwa Tanzania, Kenya, na Uganda.

Sasa basi Afcon itakuwa na nyomi ya watu kutoka mataifa tofauti watao kuja kupiga kambi huku na kikubwa ni watakula, watakunywa.

Sasa kwa muda ulio bakia kuna vitu vinaweza kuwa na demand kubwa sana kipindi cha AFCON ila ni vizuri kuangalia season yaani msimu kujua itakuwa vipi wakati huo.

1. Nyama, nyama inaweza kuwa itaongoza kwa demand au kwa kuliwa kwa wingi sana sasa hapa ni kuangalia kwa muda huu unaweza fanya nini?
- Kuku,hawa wanaweza chukua namba 1 ila muda upo wa kutosha sana.Broiler inaweza kuwa ndio demand kubwa sana.

- Mbuzi, sasa hapa ni wakati wa kuanza kuzalisha mbuzi wa nyama kwa ajili ya Afcon, mbuzi wanaweza liwa sana wakati huo.

Kondoo, hawa wasichukuliwe poa kuna watu, mataifa wanapenda sana kondoo kuliko hata mbuzi.

  • Nyama ya Ng'ombe, pia hii itakuwa na nafasi yake kubwa saba na kwa huu muda bado unatosha kunenepesha ng'ombe wako kadhaa kwa ajili ya afcon.
  • Kiti moto, hii sio ya kuacha kabisa na muda pia unatosha kabisa kuwekeza hapa.

- Samaki' muda pia unatosha kwa samaki hawa wa maji chumvi.

Mayai' huenda hii ikawa ni products itakayo kuwa na demand ya juu kabisa pia, mayai yanaweza pasuliwa sana Afcon, hivyo pia ni muhimu sana kujiandaa.

MATUNDA
Kwa matunda kwa sababu ya muda matunda kama maembe, mananasi,ndizi,muda upo wa kutosha.
Matunda yatakuwa na demand kubwa sana na haoa sasa South Africa na Egypt watanufaika vilivyo na hii shughuri.
  • Mapapai' hii ni rahisi na msimu wake ni almost all the year hivyo ni kuazalisha vilivyo mapapai kwa ajil hio.
  • Maembe, sina hakika sana ila ya mjda mfupi yanaweza kutana na afcon,
  • Starwberry hizi ni rahisi saba na zina musimu mwaka mzima, hizi zinaweza ziba nafasi ya matubda mengine, ukiweza zalisha strawberry za kutosha unaweza make sana Afcon.

  • Nanasi, hizi pia zina muda wa kutosha kabusa wakati huo ukifika ni kuanza maandalizi ya mashamba tu.
  • Tikitki na matango hizi zipo tu hivyo sio za kujadili sana.

- Limao/ Lime hii muda umeisha ila kama unayo miti basi iboreshe unaweza vuna pesa za kutosha wakati huo. Ila kama una limao zilizo ungwa ukiotesha sasa unaweza vuna wakati huo.

NB: Sijataja matunda ya muda mrefu na pia ninetaja matunda ambayo unaweza lima sasa na huo wakati ukifika ukavuna. Matunda kama Machungwa,Parachichi ni ya muda mrefu sana.
Matunda mengi yatatoka nje hasa Machungwa, Zabibu, Chenza, Kiwi na kadhalika.

MBOGAMBOGA
Hii muda ni wa kutosha kabisa mbogamboga pia zitakuwa na nagasi yake kubwa sana wakati huo wa afcon,

SPICE na HERBAL
Pia viungo vitakuwa na nafasi yake kubwa sana na ni wakati wa kujipanga vilivyo.

UYOGA
Uyoga unaweza kuwa na demand sana wakati wa AFCON hivyo ni kuanza maandalizi yake mapema sana ila haina haraka hii.

Kikubwa ni kuangalia uende na kipi, na uanze kujiandaa mapema hata kama ni cha muda mfupi ni kuanza mandalizi mapema.

Pia kumbuka wakati Afcon inaendelea bado na sisi maisha yanaendelea hivyo vitu vinaweza elekezwa sana Afcon na mtaani tukajikuta tuna uhaba pia wa vitu hivyo unapo zalisha pia sio kwa ajili ya Afcon tu bali hata mtaani kwetu.

Watu pia wanaweza concentrae na AFCON na kusahau mtaani hivyo ni kucheza na muda na akili,mtaani vitu vinaweza kuwa adimu sana.
 
Ikihairishwa?
 
Biashara za msimu ziepuke kama ukoma, waafrika hawapendi mpira
Nini cha msimu hapo Taja kimoja tu, Nilivyo vitaja mfano, Uyoga tuna import kutoka Kenya, Spice zinayoka huko,

Sikuu kuu hizi kuna watu/myu alijuwa amendaa Mbuzi wake na kauza wote, Broiler huwa vifaranga vibakosekana kuanzia mwezi wa 10 huko watu wanazalisha kuku wa Sikukuu, na kuanzia January watu wanarudi kwenye normal Productions.

Wazalishaji wanacho fanya ni kuongeza productions na baada ya tukio wanarudi kwenye normal productions.

Kuna watu wanajenga Hotels, Guest house kwa ajili ya Afcon so ikiisha Wanazibomoa?
 
Mkuu CHASHA FARMING unajitahidi sana kutu nga'amua akili zetu. Lakini nimesitikika na aina ya maswali yaliyo uliza na Wana jukwaa ni wazi kuwa hawawezi kufanya shughuli yoyote hata kulima tango tu.

Mtu anakuuliza ikiahirishwa je? Hili ni swali tosha kabisa la kumjua huyu mtu anachowaza ni Nini akili mwake.

Nilini matunda kama ndimu Tz yamekoswa soko? Lini kuku wamekoswa soko Tz hii? Haya basi nani kafuga buzi hata laki1 akakoswa soko?

Kama Mungu atanipa afya nitakuwa na mbuzi kadhaa na kuku wakutosha!

Ahsantee sana Kwa moyo huu tupo wachache tunahitaji sana uwepo wako hapa jukwaani.

Nikikamilisha mambo yangu nitakuita morogoro unipe Abc za ufugaji na kilimo Kwa kina. Nipo Tyr kulipa muda wako mkuu
 
Back
Top Bottom