Vitu vya muhimu kwenye gari

Vitu vya muhimu kwenye gari

suluta

Senior Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
115
Reaction score
40
Wadau, mi naomba kuuliza. Nimekuwa nikiona mara nyingi sana mtu akitaka kununua gari ambayo ni used cha kwanza mtu huuliza eti...ni namba gani? Yaani akimaanisha Inaanza na A, B, aw D kwa kudhani kwamba ikiwa D ndo inakuwa nzuri na ikiwa A ni ya zamani sana. Mi naomba kujua vitu vya muhimu kwa wanaojua ni NINI CHA KUANGALIA KWENYE GARI MTU UKITAKA KUNUNUA?
 
Kuna threads mbili kwenye Sticky threads ambazo zinatoa ushauri wa nini cha kuzingatia unapotaka kununua gari TZ.
 
Mashine ndio kila kitu muzee, usitazame namba wala uzuri wa nje
 
Service History ya gari husika ni jambo la msingi sana la kuliangalia. waweza nunua gari body kalii lakini mavyuma yashakwanguana kwa kukosa service ukaja hangaika nalo baadae.
 
Jeep wrangler njoo nikuuzie ni mpya nimetumia mwezi 1 tu nataka niuze nimeandika jina langu kwenye plate number.
 
Unaagiza JP, showroom, au unabambikiwa na mtu?...tuanzie hapo kwanza
 
Jeep wrangler njoo nikuuzie ni mpya nimetumia mwezi 1 tu nataka niuze nimeandika jina langu kwenye plate number.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakora waitu
 
Back
Top Bottom