suluta
Senior Member
- Dec 22, 2016
- 115
- 40
Wadau, mi naomba kuuliza. Nimekuwa nikiona mara nyingi sana mtu akitaka kununua gari ambayo ni used cha kwanza mtu huuliza eti...ni namba gani? Yaani akimaanisha Inaanza na A, B, aw D kwa kudhani kwamba ikiwa D ndo inakuwa nzuri na ikiwa A ni ya zamani sana. Mi naomba kujua vitu vya muhimu kwa wanaojua ni NINI CHA KUANGALIA KWENYE GARI MTU UKITAKA KUNUNUA?