Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Kitu ambacho ni right kwa Kenya ku claim ni Kilimanjaro, sababu ukiwa kenya ndipo utaona mlima Kilimanjaro vizuri
Pili ni Serengeti, watalii wakija kuingia serengeti, hupitia Mara, na ni eneo moja, hivyo sio lazima wakumbushwe serengeti, ila waambiwe tu, We are going to the Mara!! And that is what they know