Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Tens hao ndo usiseme kabisaaaKuna mtu anaitwa ajey devgan sehem nyingi za hatari huwa anacheza kweli alishawah kosa mke walihofia anaweza atapoteza maisha mda wowote kutokana na movie
Wahindi wapuuzi sana... nliona Movie Muhindi kapiga teke Treni na Treni likarudi ReverseHizi nazo ni wale wale tu mtu anaruka kutoka chini hadi ghorofa ya pili au anatembea kwenye ukuta kama mjusi hapo kuna ukweli gani? Ila bora hizi kuliko za wahindi [emoji23][emoji23]
Huna adabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Movies za kibongo mtu anazikwa na Sanda anafufuka na jersey ya arsenal au lipuli
Mm nliona 1 ya Kihindi![emoji16][emoji16] wahindi ni nyo.ko...mtu anapigwa ngumi anatoka na ukuta
Haha noma sanaMm nliona 1 ya Kihindi!
Mtu kapigwa Ngumi ya Tumbo ikatokea Mgongoni.
Mpigaji akarudisha Mkono unatoka bila damu
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app