Vitu vya uongo tunavyoonyeshwa kwenye muvi za kizungu

Vitu vya uongo tunavyoonyeshwa kwenye muvi za kizungu

Kuna mtu anaitwa ajey devgan sehem nyingi za hatari huwa anacheza kweli alishawah kosa mke walihofia anaweza atapoteza maisha mda wowote kutokana na movie
Tens hao ndo usiseme kabisaaa
Huyo mwehu kuna siku moja niliona eti treni linakuja akapiga teke likarudi nyuma
Nilipasua TV kwa hasira
 
Hizi nazo ni wale wale tu mtu anaruka kutoka chini hadi ghorofa ya pili au anatembea kwenye ukuta kama mjusi hapo kuna ukweli gani? Ila bora hizi kuliko za wahindi [emoji23][emoji23]
Wahindi wapuuzi sana... nliona Movie Muhindi kapiga teke Treni na Treni likarudi Reverse

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hivi Mnajua nini maana ya entertainment? Nini maaana ta Movies?
 
Back
Top Bottom