Vitu vya uongo tunavyoonyeshwa kwenye muvi za kizungu

Tena ya mguu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 au ngumi moja tu anazima jumla
Kuna hiyo "Welcome to sudden death" Star aliua adui na kikopo cha coca, alimpiga kikopo cha uso dada chali hajaamka mpaka movie inaisha
 
Kuna hiyo "Welcome to sudden death" Star aliua adui na kikopo cha coca, alimpiga kikopo cha uso dada chali hajaamka mpaka movie inaisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hivi ndio vitu sasa vinavyofanya tulalamike sio kama hatuna sababu ya msingi ya kulalamika
 
Jack Chan kujifunza Kung Fu wiki 1
Jackie Chan kumpiga mtu na tako[emoji23]
 
🤣 🤣 kina sharukani ndo zao hizo kila muvi!
 
🤣🤣🤣
 
Huu uzi umenichekesha sana

Mambo mengi yaliotajwa yanapatikana sana kwenye movies za zamani na action movies
 
Mtu anapigwa ngumi moja tena ya kawaida tu anakata moto.
 
Star hata apigwe risasi hua hafi anaweza chezea kichapo cha hatari ila mwishoni utashangaa eti yeye ndio anashinda. Wakati huo huo maadui wakipigwa ngumi moja tu wanazima moja kwa moja wala hawaamki tena asilani [emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ngumi moja tu mtu kakata moto.
 
Wahindi sio watu wazuri hawataki ujinga ujinga kabisa we mtu anaruka fuso unazani mchezo
Gari ile kubwa (van) inatumika kama silaha ya kuadhibia watu!!! [emoji38][emoji38][emoji38] yaani maadui wanakuja mbio wakiwa na silaha basi kabla hawajamfikia staa anaikanyaga buti gari inaserereka na kuwakumba na kuwaua wote (tena gari hiyo inawakumba kiupande upande- siyo kwenda mbele wala nyuma)

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ajay devgan Ni muongo balaa Hasa kwenye muvi zake za kipolisi

Eti anachomoka kwenye kawaida tu huku Gari likiwa spidi mbaya [emoji2]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Ndio mkuu muvi zote maadui/majambazi hua wanaishia kuuawa 😀
Kaka ile ni sanaa,na moja ya kazi ya sanaa ni kufundisha na kuelimisha.
Hapo jamii inaelimishwa kuwa ukijihusisha na mambo mabaya hususani ujambazi,mwisho wake ni mbaya.
 
Bongo movie ndo utacheka,,Et Jini linapenga makamasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…