Vituko anavyonifanyia mpenzi wangu

Vituko anavyonifanyia mpenzi wangu

Sammc

Member
Joined
May 24, 2011
Posts
18
Reaction score
3
Jamani mnipe ushauli,mimi nina mpenzi wangu nimekaa naye almost 2year mara nilimheshimu kama mume wangu mtarajiwa tangu hapo tulipoanza lakini siku zote uchumba ulishamiri na hatimaye aliniambia tuwaambie wazazi mi nikawaeleza home lkn bse yeye yupo chuo 2nd year tulikubaliane amalize shule ndipo tufunge ndoa ambapo ni mwakani lkn sasa vituko vimeanza kabla ya yote juzi mdada mmoja alinitumia sms akisema huyo ni mchumba wake niachane naye kwa busara nilimjibu huyo dada asijali nitamwachia tu kwani sipendi kugombania mwanaume baadaye nikampigia mhusika akasema sio kweli nikamuuliza hiyo namba unaijua akasema ndio ni rafiki yake wanasoma pamoja discussion mbaya zaidi nikapiga tena muda mwingine akapokea mdada akasema mwenye simu yuko anaoga, kweli niliishiwa nguvu kupiga tena simu imezimwa tena usiku mzm kufunguliwa asub hayo majibu ninayopewa ya mkato tu kwanza hataki kuongea nami,yaani ni vituko tu kinachoniuma nilimpatia laptop yangu aitumie chuoni nikijua namjenga mume wangu sasa nikimwambia naomba laptop ananijib vibaya hapa nilipo sijui la kufanya kweli nilimpenda lkn kwa vituko hivi nipo njia panda
 
Pole sana
ila hili ni tatizo la kuchukua watu wa dunia na kuacha wa makanisani.

laptop kitu gana bibie?yaan laptop tu ndio inayokukwaza kula kona.
Chunguza kwa umakini ukigundua pana ukweli kula kona maisha mafupi ya nini laptop ikukoseshe raha
 
Pole sana Mpendwa, pole sana, You still have have the chance to make it, experience yangu inanifundisha kuwa walioenda vyuo wengi, sio wote, huku wakiwa na commitment nyingine (relations) nyingi kama zili-survive sana basi ziliishia second year. Vyuoni vishawishi vingi, kampani mbaya nyingi ila jipe moyo, enedelea mbele tena, maana baada ya kumaliza chuo ndio mwisho pia wa relationships za vyuo, huchipuka nyingine mwishoni ambazo ndizo hu-result into marriage (sio mara zote pia).

Forgive and Forget, achana pia na hio laptop fanya kama vile uliibiwa, be focused, inauma but very soon utakua healed, simama, endelea mbele.
 
soma alama za nyakati,majibu yako wazi,laptop nini bwana tafuta nyingine utapata,
 
kumbe kinachouma ni laptop tu?
jitahidi ununue nyingine
 
Pole sana
ila hili ni tatizo la kuchukua watu wa dunia na kuacha wa makanisani.

laptop kitu gana bibie?yaan laptop tu ndio inayokukwaza kula kona.
Chunguza kwa umakini ukigundua pana ukweli kula kona maisha mafupi ya nini laptop ikukoseshe raha
penye red nakupinga sikuhizi hakuna cha kanisani wala nini, ni mtu mwenyewe alivyo lelewa
 
Dada Sammc, yaani pole sana, but naomba nikupe moyo kuwa hicho ni kitu kidogo sana katika mapenzi. Ulimwengu wa mapenzi una raha na karaha zake, sasa hiyo ni percent ndogo sana ya karaha utakazokumbana nazo. Wala usikate tamaa, cheka sana kwani na wewe katika historia yako kimemkukuta kinachowakuta wengi na wanashinda, so jipe muda, wiki mbili, mwezi, akili yako itulie, then utajikuta umeshakivuka hicho kijikwazo.

Kwa sasa usipige simu sana wala usiangaike nae, mwache tu, endelea na shughuli zako...
 
dear one...karibu 90% ya girls in relationships wanajicommit na kuishia kuumizwa...pole sana,unajua uc-panic wala nini kama vp mkaushie coz tc nt a must kuwa nae...bt kama u ctil wanna fyt 4 him then fyn...go on kuumia na kuvumilia...kama Mungu amepanga muwe pa1 then hata atazunguka kwa wanawake wote duniani atarudi kwako tu in any way....
 
Avhana naye, songa mbele. Ukianza kumuwazia wazi utajipotezea muda wako bure... wanaume tuko wengi lol...
 
Mbona wewe mleta mada hujasema unafanya shughuli gani?? Wewe ni mfanyakazi au mwanafunzi?..ulimaliza chuo?
Amalize chuo ndo mngeoana? hapo hujaweka muda wa kutafuta kazi, kujipanga kidogo kimaisha,n.k!

Inaonesha huyo mwanafunzi unamtunza (unamuweka mjini)..na umempa laptop, sijajua huwa unampa pesa kiasi gani kwa ajili ya matumizi,lol..???

Pia usipaniki sana. Kwa sababu bado hujaujua ukweli..usikubali maneno ya kuambia sana, pia inawezekana umekuwa msumbufu mno, yaani kila wakati unataka kuwasiliana naye, wewe mwenyewe jichunguze.,

Mpe nafasi na muda ajipange, akuweke mambo yote wazi. Kama inawezakana, omba mkutane naye uso kwa uso mzungumze. usimuogope wala kunyong'onyea mbele yake (maana wasichana wengi mkiwa mbele ya wanaume mnajiumauma)..mwambie msimamo wako. Pia huwezi kujua imekuwaje huyo msichana amekuwa akikujibu..Chunguza vizuri kabla ya kuamua kama kweli unampenda.

Usiogope, tulia chini..muombee kwa Mungu, na wewe pia uwe na amani..
 
Pole sana tena kama una upendo wa dhati na unafanyiwa hivyo.

sasa basi jikaze kisabuni, usiulizie tena hiyo laptop ni material tu ndugu yangu isikupotezee muda..kuwa kimya usimtafute, najua ni ngumu sana ila jitahidi..usijibizane na huyo mdada mana unaweza kutukanana na wanawake lukuki kumbe tatizo ni mwandani wako.

Hebu uwe kimya kidogo uone atafanyaje..pia mwenzio anaweza kuwa hayupo tayari kindoa, usimlazimishe.
 
Mbona wewe mleta mada hujasema unafanya shughuli gani?? Wewe ni mfanyakazi au mwanafunzi?..ulimaliza chuo?
Amalize chuo ndo mngeoana? hapo hujaweka muda wa kutafuta kazi, kujipanga kidogo kimaisha,n.k!

Inaonesha huyo mwanafunzi unamtunza (unamuweka mjini)..na umempa laptop, sijajua huwa unampa pesa kiasi gani kwa ajili ya matumizi,lol..???

Pia usipaniki sana. Kwa sababu bado hujaujua ukweli..usikubali maneno ya kuambia sana, pia inawezekana umekuwa msumbufu mno, yaani kila wakati unataka kuwasiliana naye, wewe mwenyewe jichunguze.,

Mpe nafasi na muda ajipange, akuweke mambo yote wazi. Kama inawezakana, omba mkutane naye uso kwa uso mzungumze. usimuogope wala kunyong'onyea mbele yake (maana wasichana wengi mkiwa mbele ya wanaume mnajiumauma)..mwambie msimamo wako. Pia huwezi kujua imekuwaje huyo msichana amekuwa akikujibu..Chunguza vizuri kabla ya kuamua kama kweli unampenda.

Usiogope, tulia chini..muombee kwa Mungu, na wewe pia uwe na amani..

ah si lazima ..labda mkaka alijpanga kimaisha b4 chuo?
ndo mana walipanga afta chuo....ndoa
 
Dada Pole sana!ninachotaka kukuambia hiyo imewakuta wengi wanaume kwa wasichana!huwa ni mbaya na wengi huwa inawafundisha kuwa katika mapenzi mambo hayo ni machungu sana hasa unapokuwa unaupendo wa kweli.
Steps za kuchukua angalau kujiongezea value
a)usimpgie simu wala kutuma msg kwake.
b)delete his number(s)
c)ficha mbali kabisa aina yeyote ya kumbukumbu ya huyo jamaa k.m vile picha na zawadi zingine.
d)usipende kuwa peke yako kwa kipindi hichi
e)usiruhusu mjadala wa huyo jamaa yaani kama ni rafiki au ndugu au the so called shemejis.
Unavyoumia wewe ujuwe hata yeye huwa anauma hivyo hivyo sasa unachotakiwa uvumilie ili asikuone mdhaifu,kwani katika hali uliyonayo
hata kosa sababu ya yeye kufanya hivyo yaani kuwa na mtu mwingine,na wewe bila kujuwa unaweza kuji over commit kwa mambo yaliyo juu ya uwezo wako na bado yeye akaendelea na huyo jamaa yake.
Ukifuata hayo ni lazima utaaanza sahau na build new life na mwisho kabisa usishindane kwa ku-date na mtu mwingine ili kuonyesha kuwa na wewe bado wamo kwani utaishia pabaya tuuu.
Kwa ushauri zaidi ni PM nitakusaidia zaidi.
 
Ninaushauri wa kipekee na wenye mafaa dadayangu naomba uni PM
Hakika mungu anakuona mpaka rohoni!!!!
 
dear one...karibu 90% ya girls in relationships wanajicommit na kuishia kuumizwa...pole sana,unajua uc-panic wala nini kama vp mkaushie coz tc nt a must kuwa nae...bt kama u ctil wanna fyt 4 him then fyn...go on kuumia na kuvumilia...kama Mungu amepanga muwe pa1 then hata atazunguka kwa wanawake wote duniani atarudi kwako tu in any way....

hapo kwenye kupangiwa....utata
 
Kategeka na vdenti wa chuo maana mitego yao nibalaa ......mi mwenyewe huwa nategeka ndio mana nikitoka ubungo kwenda mwenge napanda daladala zinazopitia utawala japo nauli ni kubwa kulingana na zile zinazopitia samjoma nitafanyanini mitego ndio ugonjwa wangu!
 
Pole sana, yanatokea na yanawakuta watu. We mpotezee tuu, muda vaenda na utamsahau. Mi yalinikuta pia.
 
This is a blessing in disguise....................................by the time you lose all the emotional investment of over a decade or so then you will full appreciate what I am saying.............
 
Back
Top Bottom