Kabla ya kuwa mtaalamu jikoni lazima uboronge kwanza tena vingine hata haviliki ni vya kumwaga tu. Hongera kwa kumshawishi sister wako ajiunge hapa.
Nakumbuka kuna siku mama alilazwa, halafu nikatakiwa kesho yake nimpelekee chai.
Nikajikaza usiku mzima napika chapati, kesho yake nikapeleka chapati shapeless kabisa, zipo na mapembe kama sh 20.
Kwi kwi kwi kwi nimecheka sana una huruma kwa mama yetu. Hizo chapati hapa jamvini zinaitwa chapati Evelyn Salt lol!!! Naweka order ya chapati 20 usisahau chumvi Mkuu 🙂🙂 zikiwa tayari nipm nizipitie kwa ajili ya breakfast asubuhi 🙂🙂...mbona hujasema Mkuu mama yetu alikula ngapi?

Katika upishi mgumu duniani ni chapati yaani hadi mtu kuweza pika chapati nzuri basi hakuna upishi utakaokushinda....
Hizo shapes na sie tulikua hivo hivo kila shepu hadi nyengine zina maskio ila inatokezea sometimes hata ukiweza sukuma vizuri baadhi ya mda ikaja na shape mbaya
Ukute alifarijika sana
Lol, wenyewe wanasema shape mbwembwe tu almuhimu utamu.
Kwi kwi kwi kwi nimecheka sana una huruma kwa mama yetu. Hizo chapati hapa jamvini zinaitwa chapati Evelyn Salt lol!!! Naweka order ya chapati 20 usisahau chumvi Mkuu 🙂🙂 zikiwa tayari nipm nizipitie kwa ajili ya breakfast asubuhi 🙂🙂...mbona hujasema Mkuu mama yetu alikula ngapi?
ha ha haaaaa, hata mi ningekucheka swahibakuna siku nyingine niliachwa na mdogo wangu home jumapili, wakati huo nilikuwa kama form two hivi, na natakiwa nipike pilau.
Nikakaanga vitunguu fresh na kuweka viungo, shida ilikuwa moto mkali, vile vitu vikaanza kuungua, nikawa namuiga mama alikuwa anaweka maji ili visiungue, ile kuweka tu moto ukalipuka nikakimbia na kuacha sufuria inaungua. Huku dogo akawa hana mbavu
ha ha habaksahv nshafundishwa najitahidi tahidi shape imekuwa nzuri shida imebaki moja ni ngumu hizo ha ha ha yan ukitafuna mshipa unaonekana na taya inauma ila soon hata hilo litaisha[/quote Evelyn Salt hem tupia tena ile picha ya chapati zako, nna ham ya kucheka.
Kuhusu ugumu fuata ile recipe ya farkhina itakusaidia
daah maskin we, wtt nao vimeo. Mie wangu siku moja alinipondea maadazi yangu, nshayakata nasubiri kuchoma aliyabinya binya namuondosha hataki ndo kwanza tunavutiana. Mwanangu mkubwa alicheka mpkkuna siku nipo jikoni napika choroko, nimekamua tui langu la kwanza na la pili nikaweka kwenye bakuli juu ya meza fupifupi hivi...wakati naendelea kupika mtoto wangu wa miaka miwili akaja kumbe kamebeba mchanga mkononi huku kanaita mama,mama mimi niko busy nakaangiza sasa ile nigeuke sasa ili nimsikilize kakatupia ule mchanga kwenye tui la kwanza,yaani badala ya kumchapa nilicheka mpaka mchozi, nikaanza kufikiria kukuna nazi nyingine nikasema aaaah naweka hilihili niachuja na chujio la chai alafu lile la mwisho lililobeba mchanga nitamwaga, si nikasahau nikamimina bila kuchuja na nikamwagia looote mpaka la chini, dah kuja kula mchanga mtupu ikabidi tumwage tu.
kabla ya kuwa mtaalamu jikoni lazima uboronge kwanza tena vingine hata haviliki ni vya kumwaga tu. Hongera kwa kumshawishi sister wako ajiunge hapa.[/quote BAK nawewe funguka basi uliburunga nini na wewe? Maana na wewe mtaalam wa mapishi sihaba, lazima utakuwa umepitia majaribu mengi
ha ha haBAKsahv nshafundishwa najitahidi tahidi shape imekuwa nzuri shida imebaki moja ni ngumu hizo ha ha ha yan ukitafuna mshipa unaonekana na taya inauma ila soon hata hilo litaisha
Alikula kama 2 hivi, si unajua ugonjwa??
​Kwa hiyo 18 ukacheza nazo mwenyewe! Hongera zako Mkuu.
​Kwa hiyo 18 ukacheza nazo mwenyewe! Hongera zako Mkuu.
Itakua alitoa sadaka, lol