Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna Half keki nimepika juzi,
ukimpigia paka anakufa hapohapo
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna Half keki nimepika juzi,
ukimpigia paka anakufa hapohapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka aiseeSina hamu na kuboronga mapishi[emoji23]
Kilichonipata siku napika keki,tena keki inayotakiwa iliwe kwenye hafla ndogo.
Wakati wa kuandaa nilizidisha blue band aisee ile keki tulipika usiku kucha inachemka tu bila kukauka [emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Banana ugali [emoji1787]Kupika banana bread unga (dry ukazidi mixture ya wet ingredients
nilitakiwa kupika kubwa kdg kuliko nlivyozoea nkaongeza vipimo lakini wapii
ilikua km ugali sio banana cake tena
Hahaaa keki halikauki aisee, vipi ikawaje sasa😀Sina hamu na kuboronga mapishi[emoji23]
Kilichonipata siku napika keki,tena keki inayotakiwa iliwe kwenye hafla ndogo.
Wakati wa kuandaa nilizidisha blue band aisee ile keki tulipika usiku kucha inachemka tu bila kukauka [emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ilibidi inunuliwe tu nyingine..Hahaaa keki halikauki aisee, vipi ikawaje sasa[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katika safari yangu ya mapishi dah.
Siku ya kwanza kusonga ugali niliambiwa nisubiri maji yakichemka ndiyo niweke unga aarh naona maji yanachelewa mara kwa mbali naona yanaanza kuchemka fasta nikaweka unga naanza kusonga ugali mbichi hangaika nao sana bado tu, nikaitoa sufuria kimya kimya kuelekea jalalani kutupa huo ugali ,ile narudi nakutana na mama mlangoni nipo na sufuria lilikoua na ugali naulizwa ugali uko wapi natoa macho tu nilidundwa mikofi ya mgongoni[emoji3][emoji3]
Siku nyingine mama alikua amelazwa hospital na mtoto, home nikabaki na mdogo angu , mama aliagiza nipike wali nile na mtoto na baba akirudi angekula pia. Naanza kupika wali kumbe maji kidogo mchele mwingi subiri wali hauivi umekua mbichi kabisa wanaita kiini, aargh nikautoa hivo hivo kibishi mara naskia baba kaja na rafiki yake na wanauliza ulipika nini leo? Nikaona anakaa mezani na mwenzake wanachukua msosi nikasema leo [emoji848]naona baba anaguna hiki chakula mtoto ameshakula? Nikamwambia bado ndiyo tunataka kula akasema aah msile kwanza , akaondoka na rafiki yake . Akaja kumwambia mama huyo mtoto wako mkubwa mwili tu ila akili hana hata kupika hajui[emoji3][emoji3]
Ugali na wali umewachezesha kindumbwe dumbwe wengi.Katika safari yangu ya mapishi dah.

Hizo lawama zake Sasa[emoji38]acha kabisa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka aisee
Share na wewe yaliyokupata kwenye safari ya kujifunza mapishi [emoji23]napita tu...
[emoji18]
🤣🤣 mie ardhi imemeza chapati zangu nyingi sana...Pindi najifunza kupika Ugali, si nikapika mbichi, manake niliweka unga hata maji hayajachemka. We nilichokifanya ni kutupa batini kabla mtu hajaona Halafu nikaanza upya!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Chapati za kila shepu[emoji1787][emoji1787] mie ardhi imemeza chapati zangu nyingi sana...
Acha kabisa...zinazofanana na mifuniko ya masufuria....kaukau...alimradi hekaheka. Halafu chapati hazina muamana hata mbaya zinanukia, watu wakija wanasema mbona kunanukia chapati na zenyewe hazionekani....mie kimya kama siishi humo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Chapati za kila shepu
yani kuikweli kila nilivyokuwa najifunza kupika lazima disaster itokee.Share na wewe yaliyokupata kwenye safari ya kujifunza mapishi [emoji23]
Ha ha haaaaa. Ati kama siishi humo.Acha kabisa...zinazofanana na mifuniko ya masufuria....kaukau...alimradi hekaheka. Halafu chapati hazina muamana hata mbaya zinanukia, watu wakija wanasema mbona kunanukia chapati na zenyewe hazionekani....mie kimya kama siishi humo..
[emoji15][emoji15][emoji15]yani kuikweli kila nilivyokuwa najifunza kupika lazima disaster itokee.
1. kuunguza sufuria (kabla ya kuweka chochote)
2. mara bibie akini distract tu basi kitunguu chaungua
3. kukaanga mayayi kwenye kijisufuria wakati frying pan bibie anatumia
ila hii thread nilivyoisoma, sikuwaza drama zangu binafsi nilizopitia jikoni (katika upishi) ila vituko vya bibie alivyokuwa ananifanyia.
maana washing mashine ilikuwa inakaa jikoni basi wakati anasubiri chakula kifikie steji ya kuchekiwa, na ile machine ikiwa inaendelea na shughuli zake, yeye hua alikuwa anapenda kupanda juu na wakati wa ku spin ukifika hua alikuwa anachanganyikiwa sana!
ngoja niishie hapa maana hizi memories hizi...