Vituko, kero na changamoto za club

kwenda mtu wako halafu anamkodolea mijicho mtu mwingine duuuuuuuu
 
Kuna mmoja Dodoma alitaka kumpiga mkaka tulie nae kisa hataki aongee na sisi. Tuko wanawake kama watano halafu dume moja tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja Dodoma alitaka kumpiga mkaka tulie nae kisa hataki aongee na sisi. Tuko wanawake kama watano halafu dume moja tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hio feeling huwa amazing sana, chupa zikishakaa mahali pake af unaona maua yamekuzunguka tu. Unagusa huyu unaacha mara huyu anakudekea mara vile hahah! Unazungusha round tu!

Huyo jamaa aliotaka kurusha ngumi fala tu! Anataka kuleta utemi wa kishamba wa kupigania mademu Club! Kama alijua anahitaji coy ya manzi angechukuana na mmoja akampanga mapema tu akaanza kulipia bills. Huo ndio utaratibu unaoeleweka sio kupora demu wa mtu kitemi!
 
Mkuu hii inaudhi sana..halafu wanayo sana wadada wa vyuoni.
 
Kuna washkaji wahutubiaji. Yani mtu anaongea non-stop alafu anataka asikilizwe yeye tu!

Hua napenda kunywa kimya kimya. Ni bora nitoke mwenyewe kuliko kutoka na company ya aina hiyo.

Malaya wasumbufu pia ni kero. Akikuona uko peke yako anajua utakua mteja. Mmoja kanifuata jana out of no where ananiuliza una sh ngapi?

Nikamwambia i buy booze, not pussy!

Alafu kuna hawa ambao wakilewa wanajikuta Floyd Mayweather. Matokeo yake kesho anaamkia MOI.

- KANA -
 
Hao wa kupenda kupigana ndio sitaki hata kuwasikia...nikiona rafiki una hizo itikadi hatuweza kuwa pamoja kwenye maeneo kama hayao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kero kubwa ni wale wazee wa vitonga ambao kila siku kazi yao kuomba kununuliwa bia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unamfuata demu kucheza nae halafu anakua mkali sitakii unikome halafu kuna fala tuu anakuja anamshika kiuno halafu mwamba unaona inauma kinyama.


Demu anakuita mume wangu mwisho siku anakutema sasa kuna siku sikukubali nilianzisha tifu la kufa mtu na demu nikachukua tena kiulain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena maumivu yake Kama mke... kumbe umemkuta club [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anayenifata ndiyo nawapenda ilimradi awe analipa fresh.

Siwapendi wanaogombana hata mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila marafiki nisingekanyaga club.

Naishia kulala tu kwenye makochi.

Wakitaka kuondoka wananiamsha tunasepa.

Sipendi kelele, sina hobby ya mziki na sinywi pombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...unaishije?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Ila huwa mnanichekesha hapa tu, unamfuata mtu hata humjui mzee ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…