Vituko, kero na changamoto za club

Vituko, kero na changamoto za club

Najua tulio wengi tunakutana na vituko, kero na changamoto nyingi kwenye hizi klabu za usiku Kuna visanga sio vya nchi hii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna wale Mangosha (Wasukuma mtanisamehe) na maanisha washamba, unakuta kila nyimbo wanacheza KWAITO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu yamekaa kimakundi, natamanigi niyatoe nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pale mwanaume unamfata demu ucheze nae halafu anakukwepa(aibu yake usisikie)[emoji85][emoji85][emoji85]..ila anakuja boya tu, mchafu mchafu..mlevi tu..anashikilia mchuma demu anakubali[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ndio utajua unanyota ya punda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna muda mziki ndio unanoga..bia zinashuka Kama maji kuangalia mfukoni umebaki na hela ya boda boda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa ndio unatamani hata kuweka simu Bondi, uendelee kupiga ulabu...

Unakutana na wale Malaya wa town unamnunulia bia zakutosha...anakuita Mume wangu...muda wa kuondoka anakukimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo unatamani kwenda kuzidai counter[emoji38][emoji38][emoji848]

Hebu nipeni vituko vingine wadau...

Sent using Jamii Forums mobile app
kwenda mtu wako halafu anamkodolea mijicho mtu mwingine duuuuuuuu
 
Sasa mzee ukiona club bila manzi hutainjoy si unatafta manzi yako wa kutoka nae tu mzee. Mi binafsi club naona hainogi bila manzi yani hasa nikienda bila kampani ya wahuni wangu wawili watatu.

Ile feeling unaona mwamba pembeni amevaa simple ila classic kazungukwa na chupi kibao zenye maumbo ya hatari mara kashika kiuno huku, mwingine kaja kujinong'onezesha kala kabusu. Af msela hana pressure kabisa anainjoy mbaya kabisa akitaka kucheza anajivutia mmoja kila wimbo anacheza na mwengine!
Kuna mmoja Dodoma alitaka kumpiga mkaka tulie nae kisa hataki aongee na sisi. Tuko wanawake kama watano halafu dume moja tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja Dodoma alitaka kumpiga mkaka tulie nae kisa hataki aongee na sisi. Tuko wanawake kama watano halafu dume moja tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hio feeling huwa amazing sana, chupa zikishakaa mahali pake af unaona maua yamekuzunguka tu. Unagusa huyu unaacha mara huyu anakudekea mara vile hahah! Unazungusha round tu!

Huyo jamaa aliotaka kurusha ngumi fala tu! Anataka kuleta utemi wa kishamba wa kupigania mademu Club! Kama alijua anahitaji coy ya manzi angechukuana na mmoja akampanga mapema tu akaanza kulipia bills. Huo ndio utaratibu unaoeleweka sio kupora demu wa mtu kitemi!
 
Na ule upuuzi mwingine club, mdada yuko radhi amkatie mauno rafiki yake wa kike, kuliko akukatie mauono ww mwanaume..mara abambiwe na apakatwe na rafiki yake wa kike, ukienda ww mwanaume kubambia mdada anakukwepa, sasa unabaki unajiuliza hawa wadada wanasagana au..

Hlf mzigua wangu nlikuwa sijui kumbe ww una makalio makubwa looh nisubiri pm huko Mzigua90 puker
Mkuu hii inaudhi sana..halafu wanayo sana wadada wa vyuoni.
 
Kuna washkaji wahutubiaji. Yani mtu anaongea non-stop alafu anataka asikilizwe yeye tu!

Hua napenda kunywa kimya kimya. Ni bora nitoke mwenyewe kuliko kutoka na company ya aina hiyo.

Malaya wasumbufu pia ni kero. Akikuona uko peke yako anajua utakua mteja. Mmoja kanifuata jana out of no where ananiuliza una sh ngapi?

Nikamwambia i buy booze, not pussy!

Alafu kuna hawa ambao wakilewa wanajikuta Floyd Mayweather. Matokeo yake kesho anaamkia MOI.

- KANA -
 
Hao wa kupenda kupigana ndio sitaki hata kuwasikia...nikiona rafiki una hizo itikadi hatuweza kuwa pamoja kwenye maeneo kama hayao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua tulio wengi tunakutana na vituko, kero na changamoto nyingi kwenye hizi klabu za usiku Kuna visanga sio vya nchi hii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna wale Mangosha (Wasukuma mtanisamehe) na maanisha washamba, unakuta kila nyimbo wanacheza KWAITO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu yamekaa kimakundi, natamanigi niyatoe nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pale mwanaume unamfata demu ucheze nae halafu anakukwepa(aibu yake usisikie)[emoji85][emoji85][emoji85]..ila anakuja boya tu, mchafu mchafu..mlevi tu..anashikilia mchuma demu anakubali[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ndio utajua unanyota ya punda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna muda mziki ndio unanoga..bia zinashuka Kama maji kuangalia mfukoni umebaki na hela ya boda boda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa ndio unatamani hata kuweka simu Bondi, uendelee kupiga ulabu...

Unakutana na wale Malaya wa town unamnunulia bia zakutosha...anakuita Mume wangu...muda wa kuondoka anakukimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo unatamani kwenda kuzidai counter[emoji38][emoji38][emoji848]

Hebu nipeni vituko vingine wadau...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kero kubwa ni wale wazee wa vitonga ambao kila siku kazi yao kuomba kununuliwa bia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unamfuata demu kucheza nae halafu anakua mkali sitakii unikome halafu kuna fala tuu anakuja anamshika kiuno halafu mwamba unaona inauma kinyama.

Demu anakuita mume wangu mwisho siku anakutema sasa kuna siku sikukubali nilianzisha tifu la kufa mtu na demu nikachukua tena kiulain.

Tena maumivu yake Kama mke... kumbe umemkuta club [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna washkaji wahutubiaji. Yani mtu anaongea non-stop alafu anataka asikilizwe yeye tu!

Hua napenda kunywa kimya kimya. Ni bora nitoke mwenyewe kuliko kutoka na company ya aina hiyo.

Malaya wasumbufu pia ni kero. Akikuona uko peke yako anajua utakua mteja. Mmoja kanifuata jana out of no where ananiuliza una sh ngapi?

Nikamwambia i buy booze, not pussy!

Alafu kuna hawa ambao wakilewa wanajikuta Floyd Mayweather. Matokeo yake kesho anaamkia MOI.

- KANA -
Huyo anayenifata ndiyo nawapenda ilimradi awe analipa fresh.

Siwapendi wanaogombana hata mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila marafiki nisingekanyaga club.

Naishia kulala tu kwenye makochi.

Wakitaka kuondoka wananiamsha tunasepa.

Sipendi kelele, sina hobby ya mziki na sinywi pombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...unaishije?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unamfuata demu kucheza nae halafu anakua mkali sitakii unikome halafu kuna fala tuu anakuja anamshika kiuno halafu mwamba unaona inauma kinyama.
Demu anakuita mume wangu mwisho siku anakutema sasa kuna siku sikukubali nilianzisha tifu la kufa mtu na demu nikachukua tena kiulain.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila huwa mnanichekesha hapa tu, unamfuata mtu hata humjui mzee ??
 
Back
Top Bottom