Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Yani niende club nilewe kwa juhudi zangu halafu aje mtu ajilete? Kwanza tunawafukuzaga sisi ukizidisha tunakuitia baunsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani niende club nilewe kwa juhudi zangu halafu aje mtu ajilete? Kwanza tunawafukuzaga sisi ukizidisha tunakuitia baunsa
Sasa unataka ulewe kwa juhudi za Nani?Yani niende club nilewe kwa juhudi zangu halafu aje mtu ajilete? Kwanza tunawafukuzaga sisi ukizidisha tunakuitia baunsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Zangu mwenyewe na niache nienjoy pombe zangu na marafiki zangu sio ulete pua yako
Nyie ndio wale mnaongoza kuwaaibisha wanaume wanaotaka kampani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zangu mwenyewe na niache nienjoy pombe zangu na marafiki zangu sio ulete pua yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli tunajuaga kuwapausha...Nyie ndio wale mnaongoza kuwaaibisha wanaume wanaotaka kampani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenivunja mbavu we jamaa!Mzuka umepandaa umepata na demu wa kubambia unamsikia dj anasema tunapiga nyimbo mbili za mwisho....
Unapoenda na demu wako alafu unakutana na mademu wakali kuzid wako alafu wanakata balaa..hapo unatamani umgawe demu wako kwa mkopo....
Umepiga pamba kali alafu kumbe ndani ukakutana na jamaa kamawanne wamevaa kama ww mkajikuta mmeunda timu yenu...
Maraaa paaa mkanda wa saa umekatika na saa imedondoka katkat ya watoto wa mbwa au miwani imejiachia chini dkdk sifur nyingi unakutana na hamna...
Pale unaagiza maji yakunywa umetoa elfu 5 unarudishiwa 2500...
Upo bize na kuruka mangoma ile unaangalia simu unakutana na sms inasema... Kesho usipolipa kodi ya nyumba utafute pa Kwenda namfukoni huna kitu... Au sms inasema nipo kaunta ya juu mm ashura msambwanda naomba uninunulie castle lite moja na ww umebaki na nauli tyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio mana hata kule[emoji848][emoji1787] umetufungia mlango eenh?Zangu mwenyewe na niache nienjoy pombe zangu na marafiki zangu sio ulete pua yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely true[emoji38]Mmh ww na rafiki zako wa kike huenda mnasagana si bure..maana hai-make sense, ww ni demu, unakataa kuikatikia dushe iliyo ndani ya suruali, unaenda kuikatikia papuchi iliyo ndani ya sketi.. Yuuck eti mm nijikute club, nacheza na mwanaume mwenzangu zero distance, dah naweza kutapika
Nakumbuka kuna jamaa mmoja humu jf alisema "women are lesbians by nature" Mzigua90
😂😂😂 mpenzi umejua kunichekesha leo! Nigekununulia bia kabisaUle upuuzi unapita mwanaume anakuuliza dada yote haya yako?
Kuna mmoja nilimjibu hapana nimembebea na mama ako. Alimind nusu anipasue
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeua mabaaaya.Mzuka umepandaa umepata na demu wa kubambia unamsikia dj anasema tunapiga nyimbo mbili za mwisho....
Unapoenda na demu wako alafu unakutana na mademu wakali kuzid wako alafu wanakata balaa..hapo unatamani umgawe demu wako kwa mkopo....
Umepiga pamba kali alafu kumbe ndani ukakutana na jamaa kamawanne wamevaa kama ww mkajikuta mmeunda timu yenu...
Maraaa paaa mkanda wa saa umekatika na saa imedondoka katkat ya watoto wa mbwa au miwani imejiachia chini dkdk sifur nyingi unakutana na hamna...
Pale unaagiza maji yakunywa umetoa elfu 5 unarudishiwa 2500...
Upo bize na kuruka mangoma ile unaangalia simu unakutana na sms inasema... Kesho usipolipa kodi ya nyumba utafute pa Kwenda namfukoni huna kitu... Au sms inasema nipo kaunta ya juu mm ashura msambwanda naomba uninunulie castle lite moja na ww umebaki na nauli tyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mzee ukiona club bila manzi hutainjoy si unatafta manzi yako wa kutoka nae tu mzee. Mi binafsi club naona hainogi bila manzi yani hasa nikienda bila kampani ya wahuni wangu wawili watatu.
Tunaruka nao humo humo...nikienda na manzi lazima tutagombana tu,...mm Nina wivu Sana, nikienda toilet nikakuta boya anamzenga zenga lazima nitamaind tu!Sasa mzee ukiona club bila manzi hutainjoy si unatafta manzi yako wa kutoka nae tu mzee. Mi binafsi club naona hainogi bila manzi yani hasa nikienda bila kampani ya wahuni wangu wawili watatu.
Ile feeling unaona mwamba kazungukwa na chupi kibao zenye maumbo ya hatari mara kashika kiuno huku, mwingine kaja kujinong'onezesha kala kabusu. Af msela hana pressure kabisa anainjoy mbaya kabisa!
Huwaga wananikera Sana...[emoji846]Hiyo style ya kucheza Kwaito kimakundi nakumbuka kipindi Savannah Lounge ndo mpya kabisa niliwahi wafuata kundi zima dance floor na kuanza kuwaharibia step zao huku nikiwatukana kuwa wapeleke step zao kanisani walimind ila hawakuwa na cha kunifanya maana confidence ilikuwa juu sana wakahofia ni nini nilikuwa najivunia kumbe mikwara tu ya mlevi.
Ninunulie tuuu haina shida[emoji23][emoji23][emoji23] mpenzi umejua kunichekesha leo! Nigekununulia bia kabisa
Hayo yako tuuMmh ww na rafiki zako wa kike huenda mnasagana si bure..maana hai-make sense, ww ni demu, unakataa kuikatikia dushe iliyo ndani ya suruali, unaenda kuikatikia papuchi iliyo ndani ya sketi.. Yuuck eti mm nijikute club, nacheza na mwanaume mwenzangu zero distance, dah naweza kutapika
Nakumbuka kuna jamaa mmoja humu jf alisema "women are lesbians by nature" Mzigua90
Nikiwa na marafiki ndiyo raaaaaha hata kama sinywi nitaishika moja kama vile nimeshapiga nyingi sana.Bila marafiki nisingekanyaga club.
Naishia kulala tu kwenye makochi.
Wakitaka kuondoka wananiamsha tunasepa.
Sipendi kelele, sina hobby ya mziki na sinywi pombe.
Sent using Jamii Forums mobile app