Vituko, kero na changamoto za club

Vituko, kero na changamoto za club

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maniner!

Ingekua mimi ndio masai, kesho yake ingekua zamu yangu kupigwa na mabaunsa. Ningerudi nimejikoki kama baba ubaya!



- KANA -
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masai hadi kesho kama nikikutana naye nikimsimulia anabisha hataki kabisa kuamini kuwa sisi tulipigwa kisa yeye kapigwa mate na shoga [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzuka umepandaa umepata na demu wa kubambia unamsikia dj anasema tunapiga nyimbo mbili za mwisho....


Unapoenda na demu wako alafu unakutana na mademu wakali kuzid wako alafu wanakata balaa..hapo unatamani umgawe demu wako kwa mkopo....


Umepiga pamba kali alafu kumbe ndani ukakutana na jamaa kamawanne wamevaa kama ww mkajikuta mmeunda timu yenu...


Maraaa paaa mkanda wa saa umekatika na saa imedondoka katkat ya watoto wa mbwa au miwani imejiachia chini dkdk sifur nyingi unakutana na hamna...


Pale unaagiza maji yakunywa umetoa elfu 5 unarudishiwa 2500...

Upo bize na kuruka mangoma ile unaangalia simu unakutana na sms inasema... Kesho usipolipa kodi ya nyumba utafute pa Kwenda namfukoni huna kitu... Au sms inasema nipo kaunta ya juu mm ashura msambwanda naomba uninunulie castle lite moja na ww umebaki na nauli tyu

Sent using Jamii Forums mobile app
Miwani ya nini club. Huo ushamba.
 
Back
Top Bottom