[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Umeling'ang'ania hilo leo mkuu au ilikuwa kwenye Hesabu yako nini maana mchawi ukimshitukia atakuja na kila mbinu kukuaminisha kwamba yeye ni innocent man/woman .Nilizushiwa kukutoa kafara[emoji35] [emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji84]
Mwaka 201- ni za zamani mkuu??Zile noti za zamani
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Umeling'ang'ania hilo leo mkuu au ilikuwa kwenye Hesabu yako nini maana mchawi ukimshitukia atakuja na kila mbinu kukuamiinisha kwamba yeye ni innocent man/woman .
Sanatema pale mama anapokufuma na wewe kwa ubwege wako umeibana kwenye mashavu unaongea kama jino linakuuma eti mi sijadokoa mama.Hahahahahhaa loooh kweli nyota ya Ufisadi
Inaanzia toka kitambo ukiwa unadokoa nyama za kuchemsha
Nenda Bahi mama nitakuwa Manager of Campain.Usinambie sifai hata kugombea ubunge Dodoma vijijini
Ungeendelea na ufisadi wa udogoni kipaji cha udeiwaka wa kisiasa kingeibuka. Huenda ungekuwa Mbunge wa jimbo la JF, pesa za mfuko jimbo ziishie mfukoni mwakoUsinambie sifai hata kugombea ubunge Dodoma vijijini
Unachochea akinitoa kafara utalia sana eeeeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Umeling'ang'ania hilo leo mkuu au ilikuwa kwenye Hesabu yako nini maana mchawi ukimshitukia atakuja na kila mbinu kukuaminisha kwamba yeye ni innocent man/woman .
Riwaya maridhawaAsanteee kaka angu huwa namiss hadithi nitazipata wapii jaman nakondaaaa huwa napata idea kali kali
Kulia tu haitoshi tutayafanya ya Mkoa Wa Mara Akusindikize ikibidi.Unachochea akinitoa kafara utalia sana eeeeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku nilidokoa nyama ya kuku nikajifichaa uvunguni mwa kitanda kumbe miguu ipo nje mm nipo chini ya kitanda nakula nymaaa ghafla nikapokea kichapo cha mkanda ikabid nitoke na nyama nimeshikilia alafu nyama ya kudokoa ya kuchemsha huwa tamu balaaaSanatema pale mama anapokufuma na wewe kwa ubwege wako umeibana kwenye mashavu unaongea kama jino linakuuma eti mi sijadokoa mama.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unaibu waziri ungekuita, umsaidie Melo asisumbuliwe na polisi jimboni kwakoNingekuwa kada maarufu wa yule mzee msukuma wa Ada tadea
Waoooooh asante sanaRiwaya maridhawa
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Copy hiyo ila utaziona za zamani, sasa hivi nimesitisha kupost. Hadi juni katikati ndiyo nitaanza