Vituko Maishani na Demiss: Mbinu tuliyotumia kuiba sadaka Kanisani

Nilizushiwa kukutoa kafara[emoji35] [emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji84]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Umeling'ang'ania hilo leo mkuu au ilikuwa kwenye Hesabu yako nini maana mchawi ukimshitukia atakuja na kila mbinu kukuaminisha kwamba yeye ni innocent man/woman .
 
Hahahahahhaa loooh kweli nyota ya Ufisadi

Inaanzia toka kitambo ukiwa unadokoa nyama za kuchemsha
Sanatema pale mama anapokufuma na wewe kwa ubwege wako umeibana kwenye mashavu unaongea kama jino linakuuma eti mi sijadokoa mama.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Umeling'ang'ania hilo leo mkuu au ilikuwa kwenye Hesabu yako nini maana mchawi ukimshitukia atakuja na kila mbinu kukuaminisha kwamba yeye ni innocent man/woman .
Unachochea akinitoa kafara utalia sana eeeeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sanatema pale mama anapokufuma na wewe kwa ubwege wako umeibana kwenye mashavu unaongea kama jino linakuuma eti mi sijadokoa mama.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna siku nilidokoa nyama ya kuku nikajifichaa uvunguni mwa kitanda kumbe miguu ipo nje mm nipo chini ya kitanda nakula nymaaa ghafla nikapokea kichapo cha mkanda ikabid nitoke na nyama nimeshikilia alafu nyama ya kudokoa ya kuchemsha huwa tamu balaaa
 
Back
Top Bottom